grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
Banduka hastahili kukumbukwa kabisa. Huyo hakuwa mtu mzuri hata kidogo. Alikuwa na hila sana na alifanya ufisadi kila alikoenda. Anahusishwa pia na kifo cha aliyekuwa meneja mkuu wa Chama Kikuu cha Ushirika Ruvuma, Bw. Mkuwa aliyekufa kifo cha kutatanisha huku Banduka akiwa anadaiwa pesa kibao alizokopeshwa kwa mlango wa nyuma.
Alishtakiwa wapi au naye yupo juu ya sheria kawa mzee wa tezi?