Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alisemaje?Vipi agizo la Makamu wa Rais Jana, ulilielewa.
Hilo suala nimeliona nikawa nabishana na jamaa angu mmoja hivi,ila dezaini flani kama mama kachoka sana.Kaonekana leo Ikulu ila anachechemea mguu wa kushoto.
Karudi leo toka Dubai baada ya kupelekwa na 5H-ONE tarehe 11 usiku afu ndege ikarudi tupu
Jaribu kufuatilia MzenaSio kawaida kukaa kimya bila kutokea hadharani au kuzungumza Jambo kwetu sisi wananchi wake wapendwa.
Huwa anaibuka na Jambo lolote mara moja walau ndani ya siku mbili tunamwona Runingani, mitandani au kumsikia redioni.
Mama nimekumiss xaaannahh Mama.
Unataka awe wa matamko tamko...Sio kawaida kukaa kimya bila kutokea hadharani au kuzungumza Jambo kwetu sisi wananchi wake wapendwa.
Huwa anaibuka na Jambo lolote mara moja walau ndani ya siku mbili tunamwona Runingani, mitandani au kumsikia redioni.
Mama nimekumiss xaaannahh Mama.
Runingani akitekeleza Jambo au kuagiza jamboUnataka aonekane kariakoo au magomeni?
ok,hapa umeelewaje? Tusaidiemtu chake VP aliagiza kuanzia Jana msafara wake usisababishe barabara kufungwa kwa muda mrefu. Yani yupo sehemu anahutubia lakini barabara atakayopita baadae imeshafungwa kwa saa 4.
Amemuagiza IGP kuwasiliana na RPC wote hiyo tabia ikome MARA MOJA.
Yani umenifanya nicheke kwa sauti [emoji1][emoji1][emoji1]Waziri wetu Majaliwa usijibu hili swali ni mteeegoooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unataka kusemaje mkuu...Waziri wetu Majaliwa usijibu hili swali ni mteeegoooo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Waziri wetu Majaliwa usijibu hili swali ni mteeegoooo
Basi uzi ufungweIKULU TANZANIA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati akielekea kwenye Kikao na Watendaji wa Msajili wa Hazina Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Aprili, 2023.
View attachment 2587798
Vipi agizo la Makamu wa Rais Jana, ulilielewa.