Yupo wapi Rais Mpendwa Samia Suluhu Hassan?

Yupo wapi Rais Mpendwa Samia Suluhu Hassan?

Mama Yupo na mungu anamlinda milele amina.tofauti na yuleeee. Mama kanyaga twende tumecheleweshwa mnooo kama taifa zaidi ya miaka 7
 
Sio kawaida kukaa kimya bila kutokea hadharani au kuzungumza Jambo kwetu sisi wananchi wake wapendwa.

Huwa anaibuka na Jambo lolote mara moja walau ndani ya siku mbili tunamwona Runingani, mitandani au kumsikia redioni.

Mama nimekumiss xaaannahh Mama.
Unataka awe wa matamko tamko...
 
IKULU TANZANIA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati akielekea kwenye Kikao na Watendaji wa Msajili wa Hazina Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Aprili, 2023.

20230414_193410.jpg
 
Back
Top Bottom