Yupo wapi siku hizi?

Hafsa wa

"Eti napigwa ninawachulia ..

Mpenzi wangu mimi kweli nakupenda..wajua ndo mana watesa

Labda ni dada zangu eeee....Mbona mabusu tele..mambo ya kizungu
huyo huyo
 

Najaribu kuvuta picha hiyo Chemistry ya Mastar J na Shaaa
 
Kumbe Shaa jina lake halisi ni SARAH. Ooooow
Yes kama mfuatiliaji wamuziki hili ndo jina alilotumia kwenye ile star search ya coca cola nahisi..
Ndipo lilipopatikana kundi la WAKILISHA
Witness--WAKI
Langa-- LI
Sarah-- SHAA
Kundi lilipovunjika Sarah akaondoka na SHAA yake.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Walitengeneza hit song kama Hoi na Kiswanglish
 

Oooh...thanks kwa details mkuu🤝🤝
 
Binafsi ningependa kufahamu wako wapi

1. Eluka. Aliimba 'Nikizipata'.
2. ML Chris na 'Antonia from Cuba (kuba)'. Walikuwa wanafanya The Weekenda nadhani, Clouds FM back in the day kila Ijumaa from 4 to 6 jioni. Loved that show.
3. Dj Yusuf. Aliimba 'mbele kwa mbele'
4. Dani Msimamo. Aliimba 'Wapo wanaotaka, moja ya ngoma kali sana za rap Bongo. Nadhani aliwalenga Clouds.
5. Dunga wa Mandugu Digital.
 
Dj yusuph umenikumbusha mbali
Hilo goma nlikuwa napenda kusikia wakati nasafiri na ku cross border

Ova
 
Wapi Dj ML Criss???
 
Walitoka front page kwenye jalida la FEMA kama sikosei 2005 or 2006
 
Kuna dada aliimbaga nyimbo ya "oh pesa, oh pesa, kila mtu anakuhitaji, ili umtizie mahitaji yake...
Nahisi alikuwa anaitwa Farida
 
Kuna yule demu aliimbaga ''kalamu na karatasi vinarahisisha mambo.... " ilikuwa kama rap fulani hivi, chorus aligonga Nuruel nadhani. Huyo demu aliwahi pia kushirikishwa kwenye wimbo fulani by James Dandu.

Huyo mdada jina lake Nani? Na yupo wapi ?

Nilikuwa chalii sana by that time. I liked that song sanaaa.

-Kaveli-
 
'Da Jo' from Kigamboni.... the female emcee who made me start internalising bongo hip hop. I loved muuuch ile flow yake ya kurap.

'Da Jo' yupo wapi nowadays? Anafanya nini?

One of my most favourite female emcees wa bongo hip hop by then.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…