Sauda Mwilima yeye yukoo wapiiiYes huyu jamaa alishirikishwa kwenye ngoma ya Ali kiba nalia na kwenye ngoma ya abby sjills na dilly skyes modo wa hiyo video sauda mwilima sijui yuko wapi jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sauda Mwilima yeye yukoo wapiiiYes huyu jamaa alishirikishwa kwenye ngoma ya Ali kiba nalia na kwenye ngoma ya abby sjills na dilly skyes modo wa hiyo video sauda mwilima sijui yuko wapi jamaa
Bab lee kuna wimbo aliimba analalamika demu kamuwekea kizizi.
Duh maisha aya Mungu atutie nguvuAlidata baada ya mama ake mkewe kufatana kufa
Tena hasa mama ake alipofariki
huyo huyoHafsa wa
"Eti napigwa ninawachulia ..
Mpenzi wangu mimi kweli nakupenda..wajua ndo mana watesa
Labda ni dada zangu eeee....Mbona mabusu tele..mambo ya kizungu
Nakumbuka Master j alihojiwa kwenye "Haya ni maisha yangu"; it's like alikuwa anasubiria talaka yake ikamilike coz alifunga ndoa ya Kikatoliki na ex wife wake. Ndo akawa anasema kile kiapo cha Kikatoliki si cha mchezo; ndo maana uhusiano wake na shaa umekuwa on hold; ila soon mambo yatakuwa poa.
Sarah aka Shaa
Si ni mke/Domestic Partner wa Master J
Yupo nahisi bado anafanya music pia ndio mchumba wa muandaa music maarufu nchini(Master J)
Sarah A.K.A Shaa
Yes kama mfuatiliaji wamuziki hili ndo jina alilotumia kwenye ile star search ya coca cola nahisi..Kumbe Shaa jina lake halisi ni SARAH. Ooooow
Yes kama mfuatiliaji wamuziki hili ndo jina alilotumia kwenye ile star search ya coca cola nahisi..
Ndipo lilipopatikana kundi la WAKILISHA
Witness--WAKI
Langa-- LI
Sarah-- SHAA
Kundi lilipovunjika Sarah akaondoka na SHAA yake.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Walitengeneza hit song kama Hoi na Kiswanglish
Dj yusuph umenikumbusha mbaliBinafsi ningependa kufahamu wako wapi
1. Eluka. Aliimba 'Nikizipata'.
2. ML Chris na 'Antonia from Cuba (kuba)'. Walikuwa wanafanya The Weekenda nadhani, Clouds FM back in the day kila Ijumaa from 4 to 6 jioni. Loved that show.
3. Dj Yusuf. Aliimba 'mbele kwa mbele'
4. Dani Msimamo. Aliimba 'Wapo wanaotaka, moja ya ngoma kali sana za rap Bongo. Nadhani aliwalenga Clouds.
5. Dunga wa Mandugu Digital.
Wapi Dj ML Criss???Binafsi ningependa kufahamu wako wapi
1. Eluka. Aliimba 'Nikizipata'.
2. ML Chris na 'Antonia from Cuba (kuba)'. Walikuwa wanafanya The Weekenda nadhani, Clouds FM back in the day kila Ijumaa from 4 to 6 jioni. Loved that show.
3. Dj Yusuf. Aliimba 'mbele kwa mbele'
4. Dani Msimamo. Aliimba 'Wapo wanaotaka, moja ya ngoma kali sana za rap Bongo. Nadhani aliwalenga Clouds.
5. Dunga wa Mandugu Digital.
Walitoka front page kwenye jalida la FEMA kama sikosei 2005 or 2006Yes kama mfuatiliaji wamuziki hili ndo jina alilotumia kwenye ile star search ya coca cola nahisi..
Ndipo lilipopatikana kundi la WAKILISHA
Witness--WAKI
Langa-- LI
Sarah-- SHAA
Kundi lilipovunjika Sarah akaondoka na SHAA yake.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Walitengeneza hit song kama Hoi na Kiswanglish
Yupo Americana, nafikir ni Washington