miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,730
dah umenikumbusha mbali sana,sema namuonaga sana Twitter ,Angel damas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Flo
Flora nducha na Rose chitala. Umenikumbusha mbali sana. Kuna Abubaqar Sadick. Kuna kibwagizo kiliimbwa nahisi ni banza stone akiwataja watangazaji wa Radio one enzi hizo. Kina Misa ya Bingi (huyu sikuwahi kumfuatilia sana ila nahisi lilikuwa jibaba flani bongebonge) enzi hizo tv ni za kuhesabu, ukimuona mtangazaji wa radio kwenye tv, unasimulia wiki nzima
Asante. Sijui kwann hawatunz kumbukumbuHicho kibwagizo kiliimbwa na PAPII KOCHA sio banza ( R.I.P)
Jimmy Kabwe
Huyu alishafariki na kuna wakati alikuwa na msala wa kumpa kesi mwanahabari Adam Mwaibabile "Mwana" marehemu naye.Yupo wapi NICODEMUS BANDUKA aliyekua mkuu wa mkoa wa Pwani?
Huyu baada ya kuwa nje ya game kwa muda baada ya kutemwa Classic fm sasa namsikia pale TBC International 95.2Jimmy Kabwe
Kawawu yupo Wasafi Fm kwenye kile kipindi walichowakopi CloudsYupo wapi Kawawu na Kibwana Dach waliokua watangazaji wa Magic fm?
Yupo wapi Kawawu na Kibwana Dach waliokua watangazaji wa Magic fm?
Fred waa (fred fidelis)
Roy Maganga.
Roy Maganga yupo TBC kitambo ila hatangazi, ana majukumu mengine.Fred waa (fred fidelis)
Roy Maganga.
Okey.Roy Maganga yupo TBC kitambo ila hatangazi, ana majukumu mengine.
Sijawahi kumsikia au hayupo kitengo cha kutangaza.Fred yupo DW
Daa sijawahi sikiliza hiyo redio.Orest Kawawu yupo wasafi fm kipindi cha Mgahawa
Acha uongo!Ksal alikuwa hajui kuimba alibahatisha wimbo mmoja tu MKIWA ambao feruzi aliubeba kama Wa kwake. So kupotea ilikuwa ni lazima