Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Anamaanisha kwamba kipindi Bablee anatoka na ngoma zake za Kizizi Mr Blue alikua ndio yupo kwenye peak.Una maanisha nni..?
Kwenye videos Bablee alikua anatupia pamba kali sana kama Mr Blue alivokua anatupia kwenye Mapozi, Nilikataa, Maria.
Kwa hiyo watu wakawa wanasema Bablee amekuja kushindana na Mr Blue. Sema baadae akapotea.
By The Way yuko wapi H. Mbizo mzee wa "Nilonge nisilonge, mchumba wanguuu"