Yupo wapi siku hizi?

Yupo wapi siku hizi?

Una maanisha nni..?
Anamaanisha kwamba kipindi Bablee anatoka na ngoma zake za Kizizi Mr Blue alikua ndio yupo kwenye peak.

Kwenye videos Bablee alikua anatupia pamba kali sana kama Mr Blue alivokua anatupia kwenye Mapozi, Nilikataa, Maria.

Kwa hiyo watu wakawa wanasema Bablee amekuja kushindana na Mr Blue. Sema baadae akapotea.

By The Way yuko wapi H. Mbizo mzee wa "Nilonge nisilonge, mchumba wanguuu"
 
Kitendo cha bab lee kufanana sana na blue nahisi kilichangia kumgharimu...ila mwenzie blue ananyambulika tofauti na jamaa alivyokuwa
 
Flo

Flora nducha na Rose chitala. Umenikumbusha mbali sana. Kuna Abubaqar Sadick. Kuna kibwagizo kiliimbwa nahisi ni banza stone akiwataja watangazaji wa Radio one enzi hizo. Kina Misa ya Bingi (huyu sikuwahi kumfuatilia sana ila nahisi lilikuwa jibaba flani bongebonge) enzi hizo tv ni za kuhesabu, ukimuona mtangazaji wa radio kwenye tv, unasimulia wiki nzima
Misanya Bingi alishafariki
 
Misanya Bingi alishafariki
Naelewa mkuu, jamaa alikuwa poa sana. Kuna muda walitaka kufanana sauti na Charles Hilari. Alifariki akiwa muhadhiri wa chuo nadhani.

Abubaqar Sadick ndio hasikiki kabisa. Kuna Rose Chitala RC juzi nilimuona akiwa na Maulid Kitenge huko America kwa Trump.
 
Kama husikilizi Radio One japo mara moja moja utamsikiaje Aboubacar Sadiq? Yupo huyo .
 
Mkuu redio za siku hizi ni hovyo. Nina baadhi ya vipindi vichache navyofuatilia kwa ratiba maalum. Powerbreakfast, njia panda na kile cha dj ely (muziki pekee) hivyo vingine nawaachia vijana
 
Kama husikilizi redio sidhani kama ni sahihi kusema hasikiki, kwa kuwa yeye kazi yake ni kutangaza redioni. Mimi kwenye hivyo hivyo vipindi vichache na muda wa kuvizia huwa namsikia akitangaza hapo Radio One.
 
Nitarudi redio one. Mara ya mwisho nimesikiliza radio one wakati ambao Uncle J alikuwepo redio one.
 
Juz kat si napark gar maeneo ya segerea si nkamwona daz baba analisokota na mateja wenzie wapiga debe..yaan ni teja kabisa nahis nayeye alikua anapiga debe pale
 
Duh sikufahamu hili.
Kwa kuongezea hapo, Blue alihamishwa (kama si kutekwa) kutoka G Records ya Guru kwenda JaG Records (Jaydee and Gardner) ingawa huko hakufanya vizuri. Hiyo JaG Records ilikufa natural death baadae na Blue alijiunga na label ya Zizzou pamoja na Ngwea.
 
Yeah hizo harakati nazikumbuka. Zizzou alikuja kwa moto sana mwishowe chali
 
Back
Top Bottom