Yupo wapi siku hizi?


Hicho kibwagizo kiliimbwa na PAPII KOCHA sio banza ( R.I.P)
 
Yupo wapi Kawawu na Kibwana Dach waliokua watangazaji wa Magic fm?
 
Ksal alikuwa hajui kuimba alibahatisha wimbo mmoja tu MKIWA ambao feruzi aliubeba kama Wa kwake. So kupotea ilikuwa ni lazima
Acha uongo!
Dogo alikua ana jua kuimba na kuchana sana. Kuna ngoma nyingine 'Unapopata Tumia unapokosea Tulia" chorus wameimba kina Mandojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…