Anamaanisha kwamba kipindi Bablee anatoka na ngoma zake za Kizizi Mr Blue alikua ndio yupo kwenye peak.Una maanisha nni..?
Kitendo cha bab lee kufanana sana na blue nahisi kilichangia kumgharimu...ila mwenzie blue ananyambulika tofauti na jamaa alivyokuwaAnamaanisha kwamba kipindi Bablee anatoka na ngoma zake za Kizizi Mr Blue alikua ndio yupo kwenye peak.
Kwenye videos Bablee alikua anatupia pamba kali sana kama Mr Blue alivokua anatupia kwenye Mapozi, Nilikataa, Maria.
Kwa hiyo watu wakawa wanasema Bablee amekuja kushindana na Mr Blue. Sema baadae akapotea.
By The Way yuko wapi H. Mbizo mzee wa "Nilonge nisilonge, mchumba wanguuu"
Misanya Bingi alishafarikiFlo
Flora nducha na Rose chitala. Umenikumbusha mbali sana. Kuna Abubaqar Sadick. Kuna kibwagizo kiliimbwa nahisi ni banza stone akiwataja watangazaji wa Radio one enzi hizo. Kina Misa ya Bingi (huyu sikuwahi kumfuatilia sana ila nahisi lilikuwa jibaba flani bongebonge) enzi hizo tv ni za kuhesabu, ukimuona mtangazaji wa radio kwenye tv, unasimulia wiki nzima
Naelewa mkuu, jamaa alikuwa poa sana. Kuna muda walitaka kufanana sauti na Charles Hilari. Alifariki akiwa muhadhiri wa chuo nadhani.Misanya Bingi alishafariki
Kama husikilizi Radio One japo mara moja moja utamsikiaje Aboubacar Sadiq? Yupo huyo .Naelewa mkuu, jamaa alikuwa poa sana. Kuna muda walitaka kufanana sauti na Charles Hilari. Alifariki akiwa muhadhiri wa chuo nadhani.
Abubaqar Sadick ndio hasikiki kabisa. Kuna Rose Chitala RC juzi nilimuona akiwa na Maulid Kitenge huko America kwa Trump.
G Lover (Guru) alimleta Bablee baada ya Blue Kumkimbia kama njia ya kumtoa kwenye reli Blue. Lakini akafeli.Kitendo cha bab lee kufanana sana na blue nahisi kilichangia kumgharimu...ila mwenzie blue ananyambulika tofauti na jamaa alivyokuwa
Mkuu redio za siku hizi ni hovyo. Nina baadhi ya vipindi vichache navyofuatilia kwa ratiba maalum. Powerbreakfast, njia panda na kile cha dj ely (muziki pekee) hivyo vingine nawaachia vijanaKama husikilizi Radio One japo mara moja moja utamsikiaje Aboubacar Sadiq? Yupo huyo .
Kama husikilizi redio sidhani kama ni sahihi kusema hasikiki, kwa kuwa yeye kazi yake ni kutangaza redioni. Mimi kwenye hivyo hivyo vipindi vichache na muda wa kuvizia huwa namsikia akitangaza hapo Radio One.Mkuu redio za siku hizi ni hovyo. Nina baadhi ya vipindi vichache navyofuatilia kwa ratiba maalum. Powerbreakfast, njia panda na kile cha dj ely (muziki pekee) hivyo vingine nawaachia vijana
Nitarudi redio one. Mara ya mwisho nimesikiliza radio one wakati ambao Uncle J alikuwepo redio one.Kama husikilizi redio sidhani kama ni sahihi kusema hasikiki, kwa kuwa yeye kazi yake ni kutangaza redioni. Mimi kwenye hivyo hivyo vipindi vichache na muda wa kuvizia huwa namsikia akitangaza hapo Radio One.
Duh sikufahamu hili.G Lover (Guru) alimleta Bablee baada ya Blue Kumkimbia kama njia ya kumtoa kwenye reli Blue. Lakini akafeli.
Yupo lkn nilisikia wanasema anaumwaKennedy the remedy wa clouds fm kpnd cha xxl simsikii kwa mahewa msaada tafazali????
Dah!Juz kat si napark gar maeneo ya segerea si nkamwona daz baba analisokota na mateja wenzie wapiga debe..yaan ni teja kabisa nahis nayeye alikua anapiga debe pale
Kwa kuongezea hapo, Blue alihamishwa (kama si kutekwa) kutoka G Records ya Guru kwenda JaG Records (Jaydee and Gardner) ingawa huko hakufanya vizuri. Hiyo JaG Records ilikufa natural death baadae na Blue alijiunga na label ya Zizzou pamoja na Ngwea.Duh sikufahamu hili.
Yeah hizo harakati nazikumbuka. Zizzou alikuja kwa moto sana mwishowe chaliKwa kuongezea hapo, Blue alihamishwa (kama si kutekwa) kutoka G Records ya Guru kwenda JaG Records (Jaydee and Gardner) ingawa huko hakufanya vizuri. Hiyo JaG Records ilikufa natural death baadae na Blue alijiunga na label ya Zizzou pamoja na Ngwea.
O.K
Ndie aliyeimba wimbo Radio?Yeahh Roho Saba alikua anajua sana yule mwamba