Yupo wapi siku hizi?

Yupo wapi siku hizi?

Tabia was kidedea...binti kikojoz

Jiti...ndoto tata


Kibakuli na mama Abdul...mambo hayo


Bab Lee..kizizi
Baada ya kutokumuona muda mrefu sana ila mwaka jana kati kati nilimuona huyo Bab Lee alikua East Africa Radio pale kuna kipindi kinaitwa Planet Bongo. Kila ijumaa wanakuaga na msanii wa zamani wanamuhoji, siku hiyo alikua yeye na H Mbizo

Bro yupo vizuri bado ana-shine kama kawaida yake, Ingia YouTube search "Heshima ya Bongo flavor with Bab Lee"
 
Yule dada aliyeimba wimbo wa SUGUA GAGA, Jina limenitoka. Yu wapi sijui?
Yupo nahisi bado anafanya music pia ndio mchumba wa muandaa music maarufu nchini(Master J)

Sarah A.K.A Shaa
 
Wapi Mchizi Mox na Watu Pori? Mzee wa watu Kibao na Jaffarah bado yupo bize?
Mox yupo Tabata mara ya mwisho alikua anapiga deal ya kukodisha yale maturubai kwaajili ya harusi au misibani nahisi bado anaendelea

Jafarah alikua na car wash hapa mjini muda mwingi alikua pale
images (43).jpg
images (42).jpg
 
Baada ya kujito pale MJ records nahisi ndio ilikua mwanzo wa anguko la msanii Dullayo, jamaa anaishi Ukonga (Majumba sita).

Maeneo yale kule karibu na kituo cha police Sitakishari kuna eneo linaitwa "ki-water kwamzungu" ndio mara nyingi anaonekana pale akila bara zake
Nomaa Saana Nilimuachaga Ukonga Enz izo
 
Wapi Nemo?, Adili wa Chapakazi?

yule jamaa aliimba nakupenda Hip Hop nasikia kawa mwanajeshi sasa tukumbushane aliitwa nani?
Nemo bado anafanya music ila ndio hasikiki tu, muda mwingi alikua anaonekana pale kwa Mona gangsta, sina hakika vizuri ila ni mtangazaji pia katika radio ila siikumbuki radio yenyewe

Huyo mjeshi anaitwa Roho saba 😀😀
 
Zongo alikua katika band moja hapa town inaitwa Kimondo sound(kama sijakosea).

Week mbili zilizopita nilimsikia alikua anatoa malalamiko juu ya mzazi mwenzie msanii wa maigizo bongo(Mr Mtunisi) kwamba hasimamii majukumu yake katika malezi ya mtoto
Asante kwa taarifa
 
Kuna wale wana wa Daz Nundaz, Skaut Jenta,Lalumba,Critic na Sajo sijui wamepotelea wapi ila Sajo alikua anapiga kisomo enzi zile Udsm nahis atakua muajiriwa wa public sekta now
Kuna mmoja alifariki
Nadhani Critic alikuwa anaishi sinza
 
Back
Top Bottom