Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Mavazi na usela wake ule wa hip hop base ulikuepoKwnn ulipatwa na wasiwasi mkuu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mavazi na usela wake ule wa hip hop base ulikuepoKwnn ulipatwa na wasiwasi mkuu??
Baada ya kutokumuona muda mrefu sana ila mwaka jana kati kati nilimuona huyo Bab Lee alikua East Africa Radio pale kuna kipindi kinaitwa Planet Bongo. Kila ijumaa wanakuaga na msanii wa zamani wanamuhoji, siku hiyo alikua yeye na H MbizoTabia was kidedea...binti kikojoz
Jiti...ndoto tata
Kibakuli na mama Abdul...mambo hayo
Bab Lee..kizizi
Yupo nahisi bado anafanya music pia ndio mchumba wa muandaa music maarufu nchini(Master J)Yule dada aliyeimba wimbo wa SUGUA GAGA, Jina limenitoka. Yu wapi sijui?
Mox yupo Tabata mara ya mwisho alikua anapiga deal ya kukodisha yale maturubai kwaajili ya harusi au misibani nahisi bado anaendeleaWapi Mchizi Mox na Watu Pori? Mzee wa watu Kibao na Jaffarah bado yupo bize?
Nomaa Saana Nilimuachaga Ukonga Enz izoBaada ya kujito pale MJ records nahisi ndio ilikua mwanzo wa anguko la msanii Dullayo, jamaa anaishi Ukonga (Majumba sita).
Maeneo yale kule karibu na kituo cha police Sitakishari kuna eneo linaitwa "ki-water kwamzungu" ndio mara nyingi anaonekana pale akila bara zake
Nemo bado anafanya music ila ndio hasikiki tu, muda mwingi alikua anaonekana pale kwa Mona gangsta, sina hakika vizuri ila ni mtangazaji pia katika radio ila siikumbuki radio yenyeweWapi Nemo?, Adili wa Chapakazi?
yule jamaa aliimba nakupenda Hip Hop nasikia kawa mwanajeshi sasa tukumbushane aliitwa nani?
Eeh bado yupo mkuuNomaa Saana Nilimuachaga Ukonga Enz izo
Namitungi Kama KawaidaaEeh bado yupo mkuu
Hahah! Hawezi kuacha mzee ndio pigo zake na mademu kwa sanaNamitungi Kama Kawaidaa
Daah Rado Cjui Yuko wapiiRado naye usiulize, nataka majibu na sio maswali....
Asante kwa taarifaZongo alikua katika band moja hapa town inaitwa Kimondo sound(kama sijakosea).
Week mbili zilizopita nilimsikia alikua anatoa malalamiko juu ya mzazi mwenzie msanii wa maigizo bongo(Mr Mtunisi) kwamba hasimamii majukumu yake katika malezi ya mtoto
Sekioni boss mkubwa tu ana vogue moja hatariSekiony David jamani au Secky wa ze komedy sijui yupo wapi
Bi staa amekua mtu mzima na amenenepa sanaNa yule dada nimemsaau jina alikua kitu kama mchepuko wa muogo mchungu
Nilimuona chang'ombe polisi na inspecta HaruniSuma g..mzee wa uswahilini kuna vituko
Kuna mmoja alifarikiKuna wale wana wa Daz Nundaz, Skaut Jenta,Lalumba,Critic na Sajo sijui wamepotelea wapi ila Sajo alikua anapiga kisomo enzi zile Udsm nahis atakua muajiriwa wa public sekta now
Bi staa amekua mtu mzima na amenenepa sana
Kibakuli yupo amaekuwa mkaka mkubwa na amepungua mwili
Bi staa amekua mtu mzima na amenenepa sana
Kibakuli yupo amaekuwa mkaka mkubwa na amepungua mwili
Ndio ,ni mweupe ana macho makubwaSi alikua mwembamba sana bi staa??