Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeahh.. ni kweli ndio jina la wimbo huo, nakupenda hip hop..alikuwa anafoka au kucha mistari hivKuna wimbo uliitwa Nakupenda Hip Hop na mwingine pazia jeusi
Pesa kamanda haikatai mtu kanenepa kiasi na hata ule weusi wake unang'aaNyamayao china imempenda sana
Kuna wengine akinaNdio Mkuu..
Yeah! Bongo kuigiza miyeyusho, l kama kina sepenga ndio wanachezewa weee hata mabintHapo kashatoka uigiziaji bongo ni biashara kichaa sana
ehhh!! alitamba na vibao viwili " nakupenda hip hop" na "waite polisi" jamaa sa ivi ni mwanajeshi pale kambi ya makutupora dodoma.Kuna wimbo uliitwa Nakupenda Hip Hop na mwingine pazia jeusi
Kuna msanii mmoja hivi ni rasta alimshirikisha dully sykes kuimba wimbo fulan..kwny video anaonekana jamaa anaomba namb ya simu kwa bint, bint anakuwa hamjali hiv, baadae akampa hiyo namba..kumbe binti ni muathirika UKIMWI, ila bint ali wambia jamaa kuhus hali yake...sijui u aitwajehuu wimbo na n msanii nanGeez Mabovu alifariki kama sikosei aisee.
Solo yupo Bongo anafanya mishe za biashara na kurap kidogo
Voice Wonder kweli huyo kapotea
Huyu RIPCpwaa yupo dunia ya insta huko huwa namuona tena anatumia jina hilo hill mzee wa bata huyo
Huyu RIP
Mla bata amekufa, mshika dini anadundaHaswa walikuwa poa sana mmoja suma lee ameamua kuachana na mambo ya dunia ila cpwaa yy anakula bata tuu
sarah mpaka wanatengana wakilisha alikua anatumia jina la sarah..Yes kama mfuatiliaji wamuziki hili ndo jina alilotumia kwenye ile star search ya coca cola nahisi..
Ndipo lilipopatikana kundi la WAKILISHA
Witness--WAKI
Langa-- LI
Sarah-- SHAA
Kundi lilipovunjika Sarah akaondoka na SHAA yake.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Walitengeneza hit song kama Hoi na Kiswanglish
mary GYes demu flani hivi alikuwa ana nyama nyama hivi na mwanya flan hivi amaizing.
Mla bata amekufa, mshika dini anadunda
Ndo mitaa yake hiyo kwao ni segerea kwa ndan kidogo panaitwa polis jamii ugombolwa karibu na hospital ya segereaJuz kat si napark gar maeneo ya segerea si nkamwona daz baba analisokota na mateja wenzie wapiga debe..yaan ni teja kabisa nahis nayeye alikua anapiga debe pale
Msanii alikua baasha ake wa chinichini,,.Hivi yule msanii mirror wa Wema haonekani
Yaaah Ni parklaneNadhani walikua wanajijta Parklane kama sijakosea...