Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
- Mar 30, 2009
- 1,833
- 972
Nchi hii ukiwaza tofauti tu na Rais wake. Umekwisha.Akizingua atastuka tayari Katibu wa Bunge anaitaarifu Tume ya Uchaguzi kuwa jimbo la Kongwa lipo wazi baada ya Mbunge wake kwa hiyari bila ya kushinikizwa kajiuzulu kwa maslahi ya nchi na chama
Wala sio mara ya kwanza ,hivi huyu so mine was Anna Abdala?Aliemruhusu Msekwa akatoka kwake na hiyo suti aliyovaa,Mungu anamuona.
Anakula pension yake, huku akitembelea shamba lake la mikorosho mara Kwa mara.Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uomgozi wa Umma, mtamgulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja!
Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani ni kutoonekana kwenye viwanja vya Bunge siku ya leo kwa Ndugu Job Ndugai. Wanaharakati wa haki za binadamu tunahoji wapi mmemficha Job Augustino Ndugai? Na kwa nini asitokelezee kwenye picha ya ukumbusho?
Tunamtaka Job!
View attachment 2104427
Kama na yeye alivyopata habari mpasuko na kuona barua kuwa kajiuzuru [emoji119][emoji38][emoji38]Akizingua atastuka tayari Katibu wa Bunge anaitaarifu Tume ya Uchaguzi kuwa jimbo la Kongwa lipo wazi baada ya Mbunge wake kwa hiyari bila ya kushinikizwa kajiuzulu kwa maslahi ya nchi na chama