Nsalaga Uyole
Member
- Mar 1, 2020
- 56
- 47
Chezea kitu kingine chochote lakini sio Ndugai,utanifanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba hii inaumiza sana wao wakiambiwa tunataka katiba wanakuwa wakali .ikifika wakati wa kuwamiza wao wanajuta sana.Akizingua atastuka tayari Katibu wa Bunge anaitaarifu Tume ya Uchaguzi kuwa jimbo la Kongwa lipo wazi baada ya Mbunge wake kwa hiyari bila ya kushinikizwa kajiuzulu kwa maslahi ya nchi na chama
Ndugai bado haamini posho na marupurupu yamemtoka hana access tenaKatika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uomgozi wa Umma, mtamgulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja!
Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani ni kutoonekana kwenye viwanja vya Bunge siku ya leo kwa Ndugu Job Ndugai. Wanaharakati wa haki za binadamu tunahoji wapi mmemficha Job Augustino Ndugai? Na kwa nini asitokelezee kwenye picha ya ukumbusho?
Tunamtaka Job!
View attachment 2104427
Na inawatesa sana wao majigambo yote na dhihaka kwa wapizani bungeni na kujiona ni mkubwa sana kumbe ukija kwenye katiba spika ni sawa na sisimizi tu.Nchi hii ukiwaza tofauti tu na Rais wake. Umekwisha.
Katiba hii ya Tanganyika siyo kabisa.
Nawaza wenzetu Kenya [emoji1139] Rais anawaza kivyake na makamu kivyake. Lakini hata mende hawafi !!
Sasahivi hana tofauti na mtendaji wa kataChezea kitu kingine chochote lakini sio Ndugai,utanifanya nini?
Bora hajatokea, walichomfanyia God anajuaLakini kura yake ni kati ya zile 376 zilizopigwa.. Lakini tukiachana na hilo katika hali ya kawaida hata wewe usingeweza kuonekana mitaa hiyo
Ndugai kwa sasa anahitaji katiba mpya kuliko wakati wowoteKatiba hii inaumiza sana wao wakiambiwa tunataka katiba wanakuwa wakali .ikifika wakati wa kuwamiza wao wanajuta sana.
Sent from my VFD 600 using JamiiForums mobile app
Ndugai anajuta sn kupita kiasi na anaweza akafa kabla ya muda wakeAkizingua atastuka tayari Katibu wa Bunge anaitaarifu Tume ya Uchaguzi kuwa jimbo la Kongwa lipo wazi baada ya Mbunge wake kwa hiyari bila ya kushinikizwa kajiuzulu kwa maslahi ya nchi na chama
Sana wanaccm walioumizwa na katiba hii wanaitaka sana katiba mpya ya kupunguza madaraka ya Rais ila hamna namna wavumilie tu mpaka wanaenda kaburini.kama mzee mkapa alitaka katiba mpya kuna mahala ilimgusa ndio maana alitoka shimoni huko akaizungumzia.Ndugai kwa sasa anahitaji katiba mpya kuliko wakati wowote
Sumaye, Lowasa, Ndugai, Mkapa wote walihitaji katiba mpya kuliko kitu chochoteSana wanaccm walioumizwa na katiba hii wanaitaka sana katiba mpya ya kupunguza madaraka ya Rais ila hamna namna wavumilie tu mpaka wanaenda kaburini.kama mzee mkapa alitaka katiba mpya kuna mahala ilimgusa ndio maana alitoka shimoni huko akaizungumzia.
Sent from my VFD 600 using JamiiForums mobile app
wapi aachie hata huo ubunge sababu ni aibu kubwa kwake.wagogo ni shida tatizo ni wabishi na wajuaji.ilitakiwa awepo kukabidhi ofisi leo!
Shetani hana rafiki wala urafiki na yeyote.Nchi hii ukiwaza tofauti tu na Rais wake. Umekwisha.
Katiba hii ya Tanganyika siyo kabisa.
AKILI NDOGO MISILI YA CHEMBE YA HARADALITumuombee sana tu kwani baada ya Kuambiwa akiendeleza Upuuzi wake basi Mashine Mbili za Dialysis alizonunuliwa kwa Gharama Kubwa na Hayati zilizowekwa Kwake Dodoma na Dar es Salaam zitaondolewa kisha Safari yake ya kuanza Maisha mapya Udongoni itaanza kaamua Kuufyata na Kukubali yaishe tu.
Ndugu,Sio duka hii? Makinda tu ndio anaonekana normal.
Ndugu,Sio duka hii? Makinda tu ndio anaonekana normal.
Mh Lukuvi na Mh Kabudi mbona walikuwepo wakati wa kuapisha mawaziri wapya? Usiniambie Kabudi na Lukuvi si Ndugai kwa sababu wote ni watanzania.Lakini kura yake ni kati ya zile 376 zilizopigwa.. Lakini tukiachana na hilo katika hali ya kawaida hata wewe usingeweza kuonekana mitaa hiyo