Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

Akizingua atastuka tayari Katibu wa Bunge anaitaarifu Tume ya Uchaguzi kuwa jimbo la Kongwa lipo wazi baada ya Mbunge wake kwa hiyari bila ya kushinikizwa kajiuzulu kwa maslahi ya nchi na chama
Katiba hii inaumiza sana wao wakiambiwa tunataka katiba wanakuwa wakali .ikifika wakati wa kuwamiza wao wanajuta sana.

Sent from my VFD 600 using JamiiForums mobile app
 
Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uomgozi wa Umma, mtamgulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja!

Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani ni kutoonekana kwenye viwanja vya Bunge siku ya leo kwa Ndugu Job Ndugai. Wanaharakati wa haki za binadamu tunahoji wapi mmemficha Job Augustino Ndugai? Na kwa nini asitokelezee kwenye picha ya ukumbusho?

Tunamtaka Job!
View attachment 2104427
Ndugai bado haamini posho na marupurupu yamemtoka hana access tena
 
Nchi hii ukiwaza tofauti tu na Rais wake. Umekwisha.

Katiba hii ya Tanganyika siyo kabisa.

Nawaza wenzetu Kenya [emoji1139] Rais anawaza kivyake na makamu kivyake. Lakini hata mende hawafi !!
Na inawatesa sana wao majigambo yote na dhihaka kwa wapizani bungeni na kujiona ni mkubwa sana kumbe ukija kwenye katiba spika ni sawa na sisimizi tu.
 
Lakini kura yake ni kati ya zile 376 zilizopigwa.. Lakini tukiachana na hilo katika hali ya kawaida hata wewe usingeweza kuonekana mitaa hiyo
Bora hajatokea, walichomfanyia God anajua
 
Sana wanaccm walioumizwa na katiba hii wanaitaka sana katiba mpya ya kupunguza madaraka ya Rais ila hamna namna wavumilie tu mpaka wanaenda kaburini.kama mzee mkapa alitaka katiba mpya kuna mahala ilimgusa ndio maana alitoka shimoni huko akaizungumzia.

Sent from my VFD 600 using JamiiForums mobile app
Sumaye, Lowasa, Ndugai, Mkapa wote walihitaji katiba mpya kuliko kitu chochote
 
Inasemekana alizira kushiriki mchakato wa jana akiamini Team yake watazua mjadala mkali wa kupinga kuachia ngazi kwake. Ndiyo maana hata picha ya Maspika waliopita Spika Anie Makinda na Spika Pius Msekwa yeye haonekani. Wakati wanapiga kura yeye alikuwa pale Carnival anajiburudisha na chapatti tamu za pale kwa mchemsho!
 
Nchi hii ukiwaza tofauti tu na Rais wake. Umekwisha.

Katiba hii ya Tanganyika siyo kabisa.
Shetani hana rafiki wala urafiki na yeyote.
Baada ya kulazimishwa kujiuzulu, Ndugayi ndio anaanza kulielewa hilo, alishafikia hatua ya kujiona ni kuwa yeye ni Raia tofauti.
Huku akiwa amejaa tambo nyingi na kushangiliwa na wa shetani, aliweza kufanya lolote, vyovyote, popote, akionea na kudhuru maisha ya wengi. Sasa kabaki peke yake na atalipa peke yake

1643795405765.png

 
Tumuombee sana tu kwani baada ya Kuambiwa akiendeleza Upuuzi wake basi Mashine Mbili za Dialysis alizonunuliwa kwa Gharama Kubwa na Hayati zilizowekwa Kwake Dodoma na Dar es Salaam zitaondolewa kisha Safari yake ya kuanza Maisha mapya Udongoni itaanza kaamua Kuufyata na Kukubali yaishe tu.
AKILI NDOGO MISILI YA CHEMBE YA HARADALI
 
Sio duka hii? Makinda tu ndio anaonekana normal.
Ndugu,
Ili uachane na kushukushuku vitu tu, si uwe unajisomeaga japo kidogo tu.
Mzee Pius Msekwa alimaliza Chuo Kikuu Makerere 1959 na kuajiliwa Legislative council 1960,Anna Makinda akiwa na umri wa miaka 11.
 
Sio duka hii? Makinda tu ndio anaonekana normal.
Ndugu,
Ili uachane na kushukushuku vitu tu, si uwe unajisomeaga japo kidogo tu.
Mzee Pius Msekwa alimaliza Chuo Kikuu Makerere 1959 na kuajiliwa Legislative council 1960,Anna Makinda akiwa na umri wa miaka 11.
 
Lakini kura yake ni kati ya zile 376 zilizopigwa.. Lakini tukiachana na hilo katika hali ya kawaida hata wewe usingeweza kuonekana mitaa hiyo
Mh Lukuvi na Mh Kabudi mbona walikuwepo wakati wa kuapisha mawaziri wapya? Usiniambie Kabudi na Lukuvi si Ndugai kwa sababu wote ni watanzania.
 
Neno mstaafu linatumika vibaya sana.
Wanasiasa hawastaafu,wanaostaafu ni watumishi wa umma (sio kila former ni retired)
 
Back
Top Bottom