Yupo wapi Tundu Lissu? Ni kweli anajiandaa kujiunga CCM?

Yeye ana mambo yake.Si unaona hadi anauliziwa yuko wapi?Wewe omba uwe unafuafua vikwembe na kaptula za Abdul.Watakupa dau nono.Uwakili wa serikali huwezi.Una vyeti bandia mkuu.
Yuko Kwa bwanake Ubelgiji.Wamegawana fito baada ya kuzulumiana ulaji 😁😁
 
😌

πŸ’‰ Isije ikawa anafanya 'Exposure therapy" Gharama zake basi!

Ikitokea akawa mwandamizi wa Serikali.....ataligharimu Taifa mara saba ya Mugabe, Bongo na wakuu wengine wanaokimbilia ulaya kwa matibabu kila baada ya miezi mitatu.

So far, hii ndio trend yake. Kila baada ya miezi michache anaenda ulaya kwenye matibabu-wenyewe wanadai mapumziko-kwa gharama kubwa tu.

Akipewa huo nusu mkate itakuwaje? Je, Serikali itakuwa inamhudumia? Je, kama inavyosikika kwamba CHADEMA itaenda kukata kata na kupunguza matumizi ya Serikali, watawezaje kumgharamia matibabu yake?😭

CHAGUA kwa Umakini 2024-2025
 
Apige magoti aombe msamaha, kwa yote mabaya aliyosema kuhusu CCM, atapokelewa. Nashauri cheo chake cha mwisho ni uwaziri, tena katiba na sheria. Hawezi kuwa mkuu wa nchi.
 
Kulikoni mbona wasiwasi? 🀣
 
Apige magoti aombe msamaha, kwa yote mabaya aliyosema kuhusu CCM, atapokelewa. Nashauri cheo chake cha mwisho ni uwaziri, tena katiba na sheria. Hawezi kuwa mkuu wa nchi.
Yaani apige magoti na kumsujudia shetani ili apate kutupiwa makombo na majizi ya kura?!
 
Hivi pale chadema kuna kiumbe angalau mwenye akili kumzidi Lissu? Hata hivyo lissu amekuwa mjinga muda mrefu sana inawezekanaje graduate wa warwick University anapelekwa puta na mtu ambae hada walau kadegree kamoja tu (mzee mbowe?
 
Acha kujitoa ufahamu ,ina maana hujui kuwa CDM ni SACCOS ya mzee Mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…