ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kamshauri Lisu 😂😂Ombaomba ukatibu-mahsusi wa mama SSH unaweza kufikiriwa.Au haujui hatimkato na kuumba herufi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamshauri Lisu 😂😂Ombaomba ukatibu-mahsusi wa mama SSH unaweza kufikiriwa.Au haujui hatimkato na kuumba herufi?
Yeye ana mambo yake.Si unaona hadi anauliziwa yuko wapi?Wewe omba uwe unafuafua vikwembe na kaptula za Abdul.Watakupa dau nono.Uwakili wa serikali huwezi.Una vyeti bandia mkuu.Kamshauri Lisu 😂😂
Yuko Kwa bwanake Ubelgiji.Wamegawana fito baada ya kuzulumiana ulaji 😁😁Yeye ana mambo yake.Si unaona hadi anauliziwa yuko wapi?Wewe omba uwe unafuafua vikwembe na kaptula za Abdul.Watakupa dau nono.Uwakili wa serikali huwezi.Una vyeti bandia mkuu.
Dah!Kumbe unajua hadi siri zake?Kwa hiyo atarudi lini sasa?Yuko Kwa bwanake Ubelgiji.Wamegawana fito baada ya kuzulumiana ulaji 😁😁
Muulize mumweweDah!Kumbe unajua hadi siri zake?Kwa hiyo atarudi lini sasa?
Kulikoni mbona wasiwasi? 🤣Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei.
Since then, ametulia na amepunguza makeke hata kwenye social midia. Ndugu yetu huyu aliyekunywa maji ya bendera na mzalendo wa kweli yupo wapi?
Yupo tayari kwenda kupangiwa cha kusema na akina Kibajaji kama wanavyomdhalilisha Msigwa majukwaani?
My brother, bora ufe masikini ukiwa na msimamo wako kuliko kuuza utu wako leo kwa vipande vya fedha na madaraka. Bora chadema mbovu kuliko CCm Chuku chuku.
Wilbrod Silaa alikata tamaa akiamini tatizo ni chadema lakini sasa hivi amegundua tatizo kubwa ni CCM .
Tundu Lisu epuka vipande vya fedha, kataa uwaziri Mkuu au umakamu wa Rais, kubali kwamba upo Duniani kama Mussa kuwavisha watanzania kueelekea kwenye ukombozi aidha ukiwa hai au ukiwa haupo Duniani wanao watapewa nishani kwa niaba ya baba yao
Ni kweli, mwanasiasa ni yule mwenye uoga au anayejipendekeza kwa watawala.Tundu
Tundu lisu sio mwanasiasa,ni mwanaharakati
Yaani apige magoti na kumsujudia shetani ili apate kutupiwa makombo na majizi ya kura?!Apige magoti aombe msamaha, kwa yote mabaya aliyosema kuhusu CCM, atapokelewa. Nashauri cheo chake cha mwisho ni uwaziri, tena katiba na sheria. Hawezi kuwa mkuu wa nchi.
Hivi pale chadema kuna kiumbe angalau mwenye akili kumzidi Lissu? Hata hivyo lissu amekuwa mjinga muda mrefu sana inawezekanaje graduate wa warwick University anapelekwa puta na mtu ambae hada walau kadegree kamoja tu (mzee mbowe?Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei.
Since then, ametulia na amepunguza makeke hata kwenye social midia. Ndugu yetu huyu aliyekunywa maji ya bendera na mzalendo wa kweli yupo wapi?
Yupo tayari kwenda kupangiwa cha kusema na akina Kibajaji kama wanavyomdhalilisha Msigwa majukwaani?
My brother, bora ufe masikini ukiwa na msimamo wako kuliko kuuza utu wako leo kwa vipande vya fedha na madaraka. Bora chadema mbovu kuliko CCm Chuku chuku.
Wilbrod Silaa alikata tamaa akiamini tatizo ni chadema lakini sasa hivi amegundua tatizo kubwa ni CCM .
Tundu Lisu epuka vipande vya fedha, kataa uwaziri Mkuu au umakamu wa Rais, kubali kwamba upo Duniani kama Mussa kuwavisha watanzania kueelekea kwenye ukombozi aidha ukiwa hai au ukiwa haupo Duniani wanao watapewa nishani kwa niaba ya baba yao
Acha kujitoa ufahamu ,ina maana hujui kuwa CDM ni SACCOS ya mzee Mbowe?Ningetamani sana kujua maongezi ya Mwisho na Msigwa kule Singuda yalikuwa ni nini? Maana Msigwa alikuwa na Lissu huko Singida na alipo toka akahamia CCM...Sijui ilikuwaje au ndio ilikuwa kumuaga makamu Lissu.
Jingine ni kwamba, Msigwa anamponda zaidi Mbowe kuliko Lisu, kuna namna hapa maana CDM sio Mbowe pekee.
Nitajuaje bila wewe kunipa taarifa kamili ndugu yangu? hebu nipe za ndani ndani humo cdm.Acha kujitoa ufahamu ,ina maana hujui kuwa CDM ni SACCOS ya mzee Mbowe?