Yusuf Bakhressa atuvimbia na Denza N9 PHEV kutoka BYD ya Tsh Mil 150 na zaidi!

Yusuf Bakhressa atuvimbia na Denza N9 PHEV kutoka BYD ya Tsh Mil 150 na zaidi!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Denza N9 ni full size SUV kutoka kwa BYD, ikiwa na three rows na six seats.
IMG_0702.jpeg

Inakuja na engine ya 2.0L i4 Turbo, Battery ya 46 kWh (battery pekee inaenda 160 km), 950 hp na max speed ya 230 km/h.
IMG_0698.jpeg

Chuma imezinduliwa March 2025, na kuanza kuuzwa May 2025 mwamba tayari anayo, hafu katuwekea namba D. Sawa bwana.
IMG_0700.jpeg

Kwa wazee wa bei, lowest trim inaanzia $50,000 kabla ya options, usafiri, wala ushuru. Asante.
IMG_0701.jpeg

PS: Denza N9 Ina option ya full EV ila tajiri kaona aishi na PHEV, full EV hapo mbele juu ya number plate ipo flat haina matundu (kama kwenye picha ya kwanza juu) kwa sababu haiitaji upepo uingine kupooza radiator.
 
Huyo jamaa mnayemtag ana mdomo mchafu 😂,yan kapinda zaidi ya kupinda
Kwani kuna binadamu ana ona haya kukaa uchi mbele za vyura au nzi...JF imejaa vyura na nzi tu siyo binadamu wenye akili ndiyo sababu unaniona uchi 😁😁😁 ...kama wewe siyo chura na nzi jibu swali ...kati ya ccm na bangi kipi ni haramu ?
 
Back
Top Bottom