Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
- Thread starter
- #21
Ata nusu yake tu, unauziwa gari za Italia.Mchina bana kafanya life liwe easy, unapata 950 HP kwa 150 millions 😅😅 kafanya life liwe simpe.. Maana kupata machine ya hizo HP mfuko lazima uimbe hallelujah kwenye gari zetu za Europe