Tesla kuannzia 2020 walikuja na Double Pane Glass kwaajili ya sound isolation na temp control. Ukiingia ndani ova umevaa earpods. Kimyaaa.Napenda silence ya ndani. Ambayo nilibahatika kuikuta kwenye Mercedes Benz, jamaa kwenye insulation ni ๐ฅ๐ฅ nje nje ndani ndani. Ila nje wanaisikiliza ikikata upepo. Sema navitiwa na Tesla
Hii ndio nitamchukulia zawa Seran .. Nazipenda sana gari za hivyo, sio gari unasikia makelele ya nje.. inakata sana mzuka ..Tesla kuannzia 2020 walikuja na Double Pane Glass kwaajili ya sound isolation na temp control. Ukiingia ndani ova umevaa earpods. Kimyaaa.
+upepo. Ukiwa highway 80km/h kwenda juu utajua kero yake. Masikio uwa yanaziba. Toyota Prius tushawahi kuendesha highway kwenda Tanga. Aisee. Ova mpo beach. Makelele ya upepo.Hii ndio nitamchukulia zawa Seran .. Nazipenda sana gari za hivyo, sio gari unasikia makelele ya nje.. inakata sana mzuka ..
Angechukua Jeep. Ile unyama sanaa.Kwahiyo Yusuf kakosea?
๐ ๐ Sasa mkuu wangu Toyota Prius si ni entry level ( novice ndio wakaa mle ). Mle lazima muisome namba, gari kwa insulation nawakubali Mercedes Benz, na Lexus. Sijatumia BMW siwezi semea+upepo. Ukiwa highway 80km/h kwenda juu utajua kero yake. Masikio uwa yanaziba. Toyota Prius tushawahi kuendesha highway kwenda Tanga. Aisee. Ova mpo beach. Makelele ya upepo.
Easy kwa elites? Truth is how many people wanaweza ku afford 150m on a single car?Mchina bana kafanya life liwe easy, unapata 950 HP kwa 150 millions ๐ ๐ kafanya life liwe simpe.. Maana kupata machine ya hizo HP mfuko lazima uimbe hallelujah kwenye gari zetu za Europe
Ya kichina Kama tecnoMbona gari kali afu bei ndogo?
Anyway, mwenye kujua namna ya kukopa songesha anambie kabla sijalala njaa leo
Mchina bana kafanya life liwe easy, unapata 950 HP kwa 150 millions ๐ ๐ kafanya life liwe simpe.. Maana kupata machine ya hizo HP mfuko lazima uimbe hallelujah kwenye gari zetu za Europe
Nimeweka kwa ulinganifu na kipindi cha chuma, kaangalie bei ya Brabus Rocket Edition 900.. ulinganishe na hii. ndiocho nilicho lenga. Maana yake kwa mpu mwenye kipato flani ambae hakuwa anaweza chukua European car zenye hizo spec anaweza jiweka humo sasaEasy kwa elites? Truth is how many people wanaweza ku afford 150m on a single car?
Probably wachache the rest ni kutazama kwenye picha tu
RAM huwa lajaa barabara yote ๐ ๐Uko kuna vitu kama Ford large Wild tlack new model ina hatari au Ford ruptor GMC ni noma Sijui RAM
Mchina hiyo ni chini ya MIL95Denza N9 ni full size SUV kutoka kwa BYD, ikiwa na three rows na six seats.
View attachment 3494756
Inakuja na engine ya 2.0L i4 Turbo, Battery ya 46 kWh (battery pekee inaenda 160 km), 950 hp na max speed ya 230 km/h.
View attachment 3494753
Chuma imezinduliwa March 2025, na kuanza kuuzwa May 2025 mwamba tayari anayo, hafu katuwekea namba D. Sawa bwana.
View attachment 3494755
Kwa wazee wa bei, lowest trim inaanzia $50,000 kabla ya options, usafiri, wala ushuru. Asante.
View attachment 3494757
PS: Denza N9 Ina option ya full EV ila tajiri kaona aishi na PHEV, full EV hapo mbele juu ya number plate ipo flat haina matundu (kama kwenye picha ya kwanza juu) kwa sababu haiitaji upepo uingine kupooza radiator.
RAM ni USA pia Kuna GMC ni kisangaRAM huwa lajaa barabara yote ๐ ๐
ile gari machine aiseee
Ku print nini tena tajiri yangu ๐ ๐Sio unanichukulia mimi zawadi afu we unaprint tu utakuwa unakosea sana mkuu
Hujui tena๐ ni ๐ฃKu print nini tena tajiri yangu ๐ ๐
Hizo gari tamu sana, unatoka jimbo moja kwenda jimbo lingine.. huku unakula country music ๐ถ.. Ndio maana engine zake kisangaRAM ni USA pia Kuna GMC ni kisanga
Ndio unifundishe sasa nijue hapo umeniacha kwa kona ๐Hujui tena๐ ni ๐ฃ
Kwahiyo hujaona footprints?๐Ndio unifundishe sasa nijue hapo umeniacha kwa kona ๐