Yusuf Bakhressa atuvimbia na Denza N9 PHEV kutoka BYD ya Tsh Mil 150 na zaidi!

Mchina bana kafanya life liwe easy, unapata 950 HP kwa 150 millions πŸ˜…πŸ˜… kafanya life liwe simpe.. Maana kupata machine ya hizo HP mfuko lazima uimbe hallelujah kwenye gari zetu za Europe
Ata nusu yake tu, unauziwa gari za Italia.
 
Angeweka namba E, Mangekimambi angesema Abdul kanunua gari nyingine na nyie Nyumbu wake mngeanza kubweka mitandaoni ndo maana kaweka D
Naona unamfagilia basha baresa ...jamaa kadinya sana maustadhi huyo habari zake kila mtu anazijua ila kwake pombe ndiyo haramu bali kudinya wanaume wenzie wa misikitini ni suna...mimi binafsi naweza kukutajia majina ya 6 alio wabongoreshq😁😁 huyo ustaza muhuni.
 
Bora yake kafanya kisirisiri ila marehemu Papa Francis alitoa tangazo Mashoga wote mpewe baraka kanisani
 
Bora yake kafanya kisirisiri ila marehemu Papa Francis alitoa tangazo Mashoga wote mpewe baraka kanisani
Hao wote ni wahuni tu hakuna m bora ni sawa na mtume mwamposa na mtume muhammad (ni upuuzi mtupu ...kuamini mwamposa ni mtume ni upumbavu mtupu sawa na kuamini muhammad ni mtume ...nilitoa fafanuzi hapa siku nyingi kwanini muhammad si lolote si chochote ...waislamu wote wakakimbia hadi sasa ...
 
Sijakuuliza punguza kujieleza Nyumbu wewe
 
Ndio kama hivyo wamefanya maisha yawe rahisi kwa huo upande.. Maana gari za HP hizo zinajulikana na bei zake zajilikana
Hatari sana mkuu. Hafu unauta V8 au V12 hafu cc4000
 
Hatari sana mkuu. Hafu unauta V8 au V12 hafu cc4000
Na turbo kama zote, na gari zilikuwa chache sana zenye uwezo wa kutoa huo mzigo wa hizo HP. Na tulikuwa tunaongelea kama Brabus 900 Rocket Edition Mercedes-AMG G63, 4.5-liter twin-turbo V8 engine that produces 900 horsepower and 1,250 Nm of torque πŸ˜…πŸ˜… ukienda tazama bei yake ndukiiii.. ila hiyo ukijibana bana unavuta kabisaa
 
Bei kali, hafu unakuta 7km/L
 
Bei kali, hafu unakuta 7km/L
Japo zina raha yake hasa muungurumo, kuna jamaa mmoja mala kadhaa huwa napishana nae mitaa inakifia kama simba, hadi raha kuisikia. Ila hizi za umeme inaweza simama nyuma yako na hujui πŸ˜…
 
Japo zina raha yake hasa muungurumo, kuna jamaa mmoja mala kadhaa huwa napishana nae mitaa inakifia kama simba, hadi raha kuisikia. Ila hizi za umeme inaweza simama nyuma yako na hujui πŸ˜…
Me napenda sana silence aisee. Sijawahi penda milio ya gari, ni pikipiki tu ndio inavutia.
 
Me napenda sana silence aisee. Sijawahi penda milio ya gari, ni pikipiki tu ndio inavutia.
Napenda silence ya ndani. Ambayo nilibahatika kuikuta kwenye Mercedes Benz, jamaa kwenye insulation ni πŸ”₯πŸ”₯ nje nje ndani ndani. Ila nje wanaisikiliza ikikata upepo. Sema navitiwa na Tesla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…