Yusuf Bakhressa atuvimbia na Denza N9 PHEV kutoka BYD ya Tsh Mil 150 na zaidi!

Wacha hizo wewe!
 
Aisee hawa kweli ni wafanyabiashara.
Gari moja Kali Sana yenye technology ya kisasa alafu bei yake ni kitonga sanaa.
Hapo ingekuwa land cruiser ya mwaka huu nahisi bei ni zaidi ya milioni 600
 
Nimeona Sheikh Hamdan, Crown Prince wa Dubai naye anayo
Bifu la Elon Musk na waaarabu sasa litamfanya Tesla ikose soko Uarabuni hii kitu ikipata promo ya kutosha
 
Acha kufananisha Bangi na votu vya kipuuzi, Mungu aliumba mmea wake ila hiyo haramu nyingine Mungu haitambui na anaisubiria jehanam aipige kibiriti vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…