Mtu yeyote anayetajirika kwa ujanjaujanja haleti maendeleo nchini bali umaskini!! Manji haleti fedha za kuwekeza bali anakwenda kukopa hela zenu mlizoweka benki ndio anazizungusha halafu mwisho wa siku halipi madeni benki na nyie mliowekeza huko CRDB mwisho wa mwaka mnaambia benki haikupata faida hivyo hampati gawio sababu mikopo ya wakina Manji imekuwa chefu chefu na benki faida yake ni kiduchu!!
Kati ya waliokupa likes, maskini wako 53 na wenye uwezo wa kati 4. Hakuna anayefanya biashara kutengeneza hasara.Wataanza kurudi kuja kufanya biashara zao kwani wameishaona kuna uchochoro umefunguka!!! Tusijidanganye na hawa wakina Manji kuwa wana uzalendo hasa hawa jamaa zetu wahindi; akili yao yote iko kwenye kutengeneza faida halafu kuwekeza nje!
Ili kupata faida kubwa wanakwepa kodi. Tusiwachekee sana hawa mwisho nchi itakujavuna mabua!!! Hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi
Labda aende nchi nyingine,USA walishampiga marufuku kuingia huko,baada ya ile kampeni yake kamatakamata ya mashoga.Hivi Makonda hajakimbilia USA baada ya JPM kuitwa mbinguni kweli?
Simuoni hapa TZ kabisa
Kwani hizo za Msajili kajenga Nani Mkuu?
washihiri ndo watu gani?
Yuko Dar, Mwanza na hata Dodoma pia.Hivi Makonda hajakimbilia USA baada ya JPM kuitwa mbinguni kweli?
Simuoni hapa TZ kabisa
Makonda amrudishie Tsh Bilioni 3 zake.Manji kurudi nchini mapema hii miezi miwili na nusu baada ya mwendazake kwenda , inamaana amejipanga kikamilifu .
Labda liwe Kanisa la Mashetani pekee.Naskia ni mchungaji na ana lake kanisa hapohapo bongo
Kwahiyo ndiyo aporwe Pesa na atishwe?Manji ana Usafi gani
Duh hii movie sijui ina season ngapi...nyi tokeni huko
Manji karudi kweli lakini yupo mikononi mwa TAKUKURU(mwananchi)Kwa Shutuma zake nyingi na zisizovumilika namuomba Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan aamuru Kukamatwa upesi kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kisha Yusuf Manji awe Shahidi #1 wa yanayomsibu.
Kila nikikumbuka Tukio alilofanyiwa Manji wa Watu pale Kwake Sea View huku Paul Makonda akiratibu Zoezi zima hadi Manji Chozi la Uchungu kuntoka baada ya Pesa zake zaidi ya Bilioni 3 Kunyakuliwa na Gari lake la Thamani Mhusika kulichukua na Kujimilikisha na aliyelala Kimoja sasa Geita akibariki Krav Maga huwa naumia sana.
Yusuf Mehboob Manji usiogope Kuusema huu ukweli ambao najua hata Rafiki yako mkubwa Rais Mstaafu Mzee Kikwete pamoja na Mwanae Ridhwani ( ambao nao walidharauliwa sana na Makonda aliyokuwa RC wa Dar ) wanalijua hili ila waliogopa kusema kwa Baba yake wa Hiari yasije yakawakuta nao.
Najua yakianza Kufumuka ya Paul Makonda nina uhakika wote tutakubaliana kuwa alichokifanya Ole Sabaya ni cha Mtoto kama ni Viumbe wa Majini ( Baharini ) kwa Ufisadi, Uonevu na Ukatili Sabaya ni Papa ila Makonda ni Nyangumi.
Na ninashangaa kwanini hajakamatwa.
Kuwa mikononi mwa TAKUKURU ni Jambo la Kawaida sana kutokana na Shutuma zake ambazo hata hivyo nyingi zilikuwa ni za Kumbambikia kwakuwa kuna Mtu ( sasa hayupo duniani ) alimchukia tokea alipokuwa Waziri. Nina uhakika huko TAKUKURU atapangua hayo Madai yake yote na kuwa Huru ndani ya nchi yake ya Tanzania.Manji karudi kweli lakini yupo mikononi mwa TAKUKURU(mwananchi)View attachment 1806742
Hana muda mrefu mtasikia kakamatwa.Makonda anaishi kama digidigi sasahivi ameamua kuwa mkulima huko shambani na anajificha kwelikweli maana anajua ipo siku watakula ule mtigo wake alioubebelea shuwainy kabisa
Aidha waitane faragha warejesheane unless otherwise kutakuwa na uadui wa kisiriri,ambao ni mbaya sana maana wote ni watoto wa mjini ingawa mmoja hapo ni mjini zaidi.Makonda amrudishie Tsh Bilioni 3 zake.
We kenge unajua huyoo manji anamaujingaa mangapii ya huko nyuma..hiv watanzania wamejaza mavi vichwani au mikojoo...huyoo manji anapaswaa mpaka sasa awe pale segeremea kwa upuuzi aliofanya kwenye nchi hii..ulizia narco ya kigamboni alichokuwa anataka kuifanyia serikali..acheni upuuzi nyie walala hoiii...mijitu mingine inakera had unataka kuyachapa risasi kwa kutumia wifi...kenge kabisaaaa..mnakumbatia mafisadii ya ajab kabisaa hapa...Kwa Shutuma zake nyingi na zisizovumilika namuomba Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan aamuru Kukamatwa upesi kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kisha Yusuf Manji awe Shahidi #1 wa yanayomsibu.
Kila nikikumbuka Tukio alilofanyiwa Manji wa Watu pale Kwake Sea View huku Paul Makonda akiratibu Zoezi zima hadi Manji Chozi la Uchungu kuntoka baada ya Pesa zake zaidi ya Bilioni 3 Kunyakuliwa na Gari lake la Thamani Mhusika kulichukua na Kujimilikisha na aliyelala Kimoja sasa Geita akibariki Krav Maga huwa naumia sana.
Yusuf Mehboob Manji usiogope Kuusema huu ukweli ambao najua hata Rafiki yako mkubwa Rais Mstaafu Mzee Kikwete pamoja na Mwanae Ridhwani ( ambao nao walidharauliwa sana na Makonda aliyokuwa RC wa Dar ) wanalijua hili ila waliogopa kusema kwa Baba yake wa Hiari yasije yakawakuta nao.
Najua yakianza Kufumuka ya Paul Makonda nina uhakika wote tutakubaliana kuwa alichokifanya Ole Sabaya ni cha Mtoto kama ni Viumbe wa Majini ( Baharini ) kwa Ufisadi, Uonevu na Ukatili Sabaya ni Papa ila Makonda ni Nyangumi.
Na ninashangaa kwanini hajakamatwa.
Manji ni Mtoto wa Mjini kuliko Makonda.Aidha waitane faragha warejesheane unless otherwise kutakuwa na uadui wa kisiriri,ambao ni mbaya sana maana wote ni watoto wa mjini ingawa mmoja hapo ni mjini zaidi.
Yeye Fisadi na Muuaji huyo nani ni bora?We kenge unajua huyoo manji anamaujingaa mangapii ya huko nyuma..hiv watanzania wamejaza mavi vichwani au mikojoo...huyoo manji anapaswaa mpaka sasa awe pale segeremea kwa upuuzi aliofanya kwenye nchi hii..ulizia narco ya kigamboni alichokuwa anataka kuifanyia serikali..acheni upuuzi nyie walala hoiii...mijitu mingine inakera had unataka kuyachapa risasi kwa kutumia wifi...kenge kabisaaaa..mnakumbatia mafisadii ya ajab kabisaa hapa...