Yusuf Manji arejea Tanzania

Unalalamika sana
Kwani mpaka sasa unabiashara ngapi zinazochangia uchumi wa nchi yako ewe mlipa kodi mwenye uchungu na nchi yako?
 
 
Swali ni wamefanyia nn nchi yao hawa wazalendo wanaolalamika?
 
Unalalamika sana
Kwani mpaka sasa unabiashara ngapi zinazochangia uchumi wa nchi yako ewe mlipa kodi mwenye uchungu na nchi yako?
Kwani wewe upo hapa kujua watu wanakazi zipi au upo kuwa faida ya Watanzania kupitia hoja na michango yako hapa?

Tufanye nimekwambi biashara zangu au kazi zangu, wewe inakusaidia nini?
 
Sijasema nirahisi ni ngumu na ndio maana hawa wakina Manji mwendazake aliwapeleka kunyea debe; maisha yao yote watamkumbuka!!! Mimi wacha nishindie mihogo ya 500 lakini sidhalilishwi na mtu.!
Mihogo ya mia tano haitoshi kujenga barabara. Acha kulalamika. Tumia akili, shirikiana na matajiri uijenge nchi yako.
 
Kwani wewe upo hapa kujua watu wanakazi zipi au upo kuwa faida ya Watanzania kupitia hoja na michango yako hapa?

Tufanye nimekwambi biashara zangu au kazi zangu, wewe inakusaidia nini?
Wewe una Bla bla nyingi na malalamiko kwa yusuf.

Biashara zako kama ww ni mlipa kodi zina maana kwa watanzania wote.
 
Bila kulipa kodi ni nothing kwa serikali na nchi kwa ujumla utabaki kua mwizi na kanjanja la kutisha
 
kama issue ilikuwa kodi basi huo ulikuwa uzembe wa serikali, nani ana mkono mrefu kuliko wao? na kulikuwa na namna nzuri tu ya kukaa mezani kukubaliana. lkn manji peke yake kufunga biashara zake si chini ya watanzania elfu nne wamekosa ajira. nani anaumia hapo? magufuli tangu ameingia ajira zenyewe anatoa kwa manati achilia mbali kuongeza mishahara.
 
Ukweli mtupu huu.
 
Karibu sana mwenyekiti wetu wa zamani. Hakika wazalendo wanarejea, hali ya maisha inaenda kua kama 2010 -2015. Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya...

Maisha Bora kwa kila mtanzania yanarudi, sasa mama SSH amtoe jela, Rugemalira na Singa Singa. Wanaostahili kua ndani ni makonda na Sabaya...

Wazalendo akina Lugumi wapewe tenda za majeshi yetu, unacheza na JWTZ wewe gusa uone [emoji91] moto. Miradi ya jiwe tupige Chini, ni hasara kwa nchi. Tuongeze mishahara na kuimarisha diplomasia. Hahaha hahaha nimefurahi sana, hakika mzee wa Msoga ni gwiji la siasa.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Arusha wahindi wameshaanza unyanyasaji, Leopard tours wanawafukuza wajasiriamali waliopo karibu na jengo lake pale sekei opposite na mount meru hoteli, wametakiwa waondeke na amri inatoka kwa watendaji wa serikali, yaani hata kama unafanya biashara mita 50 karibu na jengo lake unatakiwa kuondoka

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Tutamkumbuka Rais wetu mtetezi wetu MAGUFULI,

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…