TANZIA Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

Ninamkumbuka alivyowahonga pilau wanaccm wa Mbagala kwani walikula na kubeba yekiawei mpaka likawashinda, wakamchagua kuwa diwani wao, hata hivyo hakuwahi kuhudhuria vikao vya madiwani.
UMASIKINI AGHARI.
 
Lakini mkuu kuna tofauti gani ya kuzikwa kwenye makaburi ya umma na kuzikwa nyumbani kwako?

Mimi nijuavyo ukifa umekufa na haijalishi ni wapi utazikwa. Ardhi ni ile ile. Udongo wa Kinondoni na udongo wa nyumbani kwako, vyote ni udongo.
 
To Allah we belong and to him we will return
 
Ililuwaje wakawekwa kwenye payroll
Kipind Wana jitafuta walikuaga Wana mkatabaa na EATV Sasa wakawa wamesitisha mkatabaa na EATV Wakawa na mgogoro..

Kipindi icho icho Wakawa wanafukuzia kuanza kuonyesha ze comedy kwenye television ya TAIFA

Manji alitoa pesa yake mfukoni kulipia gharama zoteee na mishahara na marupurupu yoote kwa kina masanja na wenzake WOTE..

Unaweza ku search interview ya masanja akisimulia historia ya Maisha yake kwenye kipindi Cha ""THE CLASSIC WITH MASANJA" PRESENTER NI JABIR SALEH WA EFM RADIO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…