TANZIA Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani


Alale mahala pema peponi. Ametuachia Tanzania kama alivyoiacha. Maisha yetu chini ya jua yanafanana na zile mbio za panya sakafuni. Huwa zinaishia ukingoni.
 
1. Wapi nimesema nisingetaka nisiwe miye?

2. Miye mbona ni marehemu tayari ndugu?

3. Kwani wewe waogopa au hutaki kufa?

4. Kwani wewe una nini zaidi ya waliotangulia?

5. Wanasema waungwana:

"Graves are full of indispensable people."
N sio buasara kumcheka au kumsema vibaya marehemu. Hakuna anayeishi milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…