Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
That's what I like about jiwe he was full of himself, aggressive and revengeful. He knew revenge must be absolute. Jamaa hata kifo chake kabla sijajua yaliyotokea mzena i knew alifanya kiburi huko😂 na kweli kama alivosema Mabeyo ubishi na kibuli vilitawalaWakati Magufuli ni waziri wa ujenzi ...huyu mwamba aliwahi pishana nae sana..
Alivyokuwa Rais akaanza nae...
Too bad
dunia hii si yetu, nakumbuka watu hawa watatu walivyokuwa wakishambuliana katika media lakini wote marehemu. Almaruhumu Sheikh Baswalehe(Allah amsamehe makosa yake) , Yussuf Manji(amsamehe makosa yake) na Mheshimiwa Raginal Mengi (Allah amlaze anaposatahili)- HAWA WOTE SASA MAREHEMU. Tunatakiwa tuwe chawa wa Allah na sio Chawa wa binaadam wenzetu
Sasa hivi tunasema chalamila anahusikaAngefariki kipindi cha Mwamba Jiwe Magufuli, ingesemwa Mwamba anahusika. Sijui Sasa hivi watasemaje!!
Ilikuwa ishu ya coco beach, kipindi hicho JPM n waziri wa ujenzi.Tulikuwa kwenye kahawa mmoja wetu akasema huyu manji aliwahi kumwambia Magufuli kipindi akiwa waziri kuwa hawezi kuongea na mbwa Bali ataongea na mwenye mbwa(jakaya jigwete)Mwenye kujua issues ilikuwa Nini?
Inasikitisha sana mkuu, vp JPM hajahusika kwenye hili kweli?Matajiri wa Tanzania wanazidi kupukutika
Yes ndivyo inavyotakiwa, namuunga mkono JPMWakati Magufuli ni waziri wa ujenzi ...huyu mwamba aliwahi pishana nae sana..
Alivyokuwa Rais akaanza nae...
Too bad
That's what I like about jiwe he was full of himself, aggressive and revengeful. He knew revenge must be absolute. Jamaa hata kifo chake kabla sijajua yaliyotokea mzena i knew alifanya kiburi huko😂 na kweli kama alivosema Mabeyo ubishi na kibuli vilitawala
Sometimes watu wakikebehi kifo chake naona haina maana sababu alijua atakata moto na ameenda huko kwa kiburi
Hata ukiishi na watu vizuri utakufa sawa na anayeishi na watu vibaya🤣Dunia tunapita tuishi na watu vizuri...!
Familia ikisema amefariki baada ya kuugua, si inatosha! Au utataka kujua ugonjwa wake!?R.I.P YM ...japo hata source ya kifo chake haijawekwe...sijui waandish wa SAS hiv wanakula maharage ya wapi
Sidhani,huo umri wa mo dewji
Sidhani,huo umri wa mo dewji
Was thinking sameSi ndio vizur ili m take over..
Hahah hivi jiwe aliwahi kuyaona maisha ya mashetani yanafananaje?Dah! Nadhani huyu alikuwa mmoja wa Matajiri ambao Jiwe aliapa kwamba atahakikisha wanaishi kama mashetani!
Basi lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho!
Nasi tuko safarini!
MWONGO MKUBWAJamaa hata kifo chake kabla sijajua yaliyotokea mzena i knew alifanya kiburi huko😂 na kweli kama alivosema Mabeyo ubishi na kibuli vilitawala
Tukiwabana mapaimbu mnatuita Madikteta.Mimi nilitamani ingekuwa fisadi kikwete
Hujasikia wanasema eti JPM asingemweka ndani,jamaa asingekufa?so lawama bado anapewa JPMAngefariki kipindi cha Mwamba Jiwe Magufuli, ingesemwa Mwamba anahusika. Sijui Sasa hivi watasemaje!!
Mmbongo anataka kusikia kuwa marehemu amefariki baada ya kuugua kifaduro kwa muda mrefu,then ndio nafsi yake inasuudhikaFamilia ikisema amefariki baada ya kuugua, si inatosha! Au utataka kujua ugonjwa wake!?
Hawa wanachoma moto hukohuko hawana mambo mengiHuyu manji atazikwa India, US au TZ? Muda utatujibu
Wahindi hawana kawaida ya kusafirisha, mwili wanachoma moto sana sana wanachukua majivu kidogi ndio wanahifadhiWatamleta kumzika bongo au?