TANZIA Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

Yusuf manji alikua Ni tajiri asie kua na makuu MTU wa watuu

Masanja wa ze comedy na clue yao wote waliwai kuwekwa kwenye payroll list ya bosi manji

Alikua Ni bonge la deal maker kiungo mshambuliaji Kama vile Pele wa Brazil
 
Hapa ndio Mungu alituletea usawa.

Uwe Tajiri sana, Uwe fukara sana.

Kukata moto kupo palepale.


Kumbe tukifa Mali zote tunaziacha, na kwamba wakati wa Kufa, Pesa haziwezi kuzuia huo mchakato.




Maana yake ni kwamba, Hata utoe Makafara uwe Tajiri, hata Udhulumu mtu, KUFA UTAKUFA TU.


SWALI NI JE..... UMEJENGA KWENU??? AU NDO UTAACHA WOSIA WA ,NIKIFA, MNIZIKE MAKABURI YA KINONDONI😂😂🥱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…