Yusuf Manji mikononi mwa TAKUKURU baada ya kurejea nchini

Manji ahojiwe kama hana hatia ataachiwa huru, sioni sababu ya kulalamika, his past record speaks for itself hasa linapozungumziwa suala la kodi, na Samia kuwepo madarakani hakuna maana kwamba ndio alegeze kila kitu kijiendee tu, wabongo kulia lia sasa too much.
 
Hebu sema mama kafanya nini hapo?? Yaani Manji kuitw na TAKUKURU ni kipi kinakwambia mama ndio kaagiza aitwe??

Hivi jamani TAKUKURU si inaweza ikamtaka mtu yoyote tu aende wakamhoji juu ya jambo flani?? Tena sometimes hata jambo lenyewe halimhusu huyo alieitwa.

Watanzania tusiwe wepesi wa kulaumu tu jamani.
 
Mama alitwambia lakini yeye na dhalimu magufuli ni KITU KIMOJA! Sukuma GANG bado wameshika usukani ili kumuenzi dhalimu hawataki Kikwete awazidi KETE!
Matajiri wataanza kuogopa kurudi Tanzania hata uwekezaji itapungua zaidi
 
Hapa nawaza kimoyo moyo jinsi ambavyo huyu Manji alijipanga kurudi anavyojisemea kimoyo moyo!

”Dah...kmmmk sijapiga hela mda mrefu sana toka yule kooma toka bush anletee ushubwada bora ata kadedi tu kmanyoko zake hhhhoouwh(anapiga muhayo)...Wacha nidondoke zangu Bongo bana nikafanye yangu sasa, mwanangu wa Msogani kashanipanga kwamba sahizi utawala tu haina kwelekweche so hapa mapema sana yani!”...”Wale waxenge wa TAKUKURU sahizi haina shanapa nawazimia Fegi za matako tu afungwi mtu wala nini yani utawala tu!”
 
Ujinga utakua nao wewe

Mwache president na institutions zake zifanye kaZi

Kama Hana issue huyo manji watamwachia
 
CAG aliandika kwenye ripoti zake mbili kwamba fiscal year 2016/2017 1.5 trillions imepotea hazina na 2017/2018 1.2 trillion imepotea hazina na yule mzalendo FAKE AKA mwendazake akagomea uchunguzi huru na ikapita kimya kimya! Ununuzi wa ndege wa zaidi ya trillion 3 aligomea CAG asikague na kweli ununuzi huo haukaguliwa.
 
Ndio madaraka kibongo bongo yalivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…