Yusuph Makamba: Hayati Mwinyi ni hazina ya Mwenyezi Mungu kwa nchi yetu

Aliyefariki hakuwa na familia inayomtegemea???!!! huu ndio ubinafsi wa watu weusi unaotukwamisha kuendelea, kila mtu anawaza tumbo lake kuneemeka kupitia ofisi za umma.
Hawa wazee wawe wanapimwa akili kabla ya kufanyiwa mahojiano ama wasiwe wanahojiwa kabisa. Mada zote ni maslahi binafsi tu.
 
Halafu hata hastuki,

Anyway, labda ni uzee, tumsamehe Babu yetu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…