Yusuph Makamba: Hayati Mwinyi ni hazina ya Mwenyezi Mungu kwa nchi yetu

Wale wameshakufa haliyakua ni makafiri, sasa unataka mzee wetu Yusuf awaongelee kwa kipi haswaa! Na istoshe huyo nyerere unajua alichokifanya kwenye revolution day huko ZNZ halafu unataka watajwe, kwa lipi!!
Loliondo gate ilikaaje Kwa hiyo
 
Tunasubiri afe ili tufufue kauli yake ya wazuri hawafi
 
Ila na Mafisadi nao Waache Wizi na hii iwe moja ya Kimuenzi Mzee wa Ruksa Maana Shekh yule alikuwa hana Ka Ufisadi rohoni mwake.
Mkuu, Loliondo na Twiga walikwenda kipindi gani?

Nani aliuza sehemu ya nchi kwa waarabu?
 
Aliyefariki hakuwa na familia inayomtegemea???!!! huu ndio ubinafsi wa watu weusi unaotukwamisha kuendelea, kila mtu anawaza tumbo lake kuneemeka kupitia ofisi za umma.

Hawa wazee wawe wanapimwa akili kabla ya kufanyiwa mahojiano ama

Halafu anasema Rais Mwinyi akatabasamu!

Mtu kafa wao wanatabasamu! Wanapeana mistari ya maandiko halafu "akatabasamu."

Vichwa vibovu, uko sahihi kabisa.
 
Huyu babu ni mdini sn, hajataja jina la Mkapa na Magu na wakati alikuwa RC kipindi cha Mkapa
kwa hiyo angetaja jina la Mkapa angekuwa sio Mdini ?

Mama January hata sadaka anazopeleka kanisani kila Jumapili pamoja na usafiri wa kwenda na kurudi anapewa na huyu Mzee ujue hivyo
 
Tanzania imejaliwa kuwa na wazee wenye uwezo mkubwa sana wa Uchawi na Unafiki.

Bahati nzuri huwa hawsjifichi
 
Huyu babu ni mdini sn, hajataja jina la Mkapa na Magu na wakati alikuwa RC kipindi cha Mkapa
Nadhani humfahamu Mzee huyu licha ya mkewe kuwa mkristu anaijua Biblia ndani nje na huinukuu mara kwa mara. Mdini ni wewe unayetuza Hitler wa Kiyahudi
Bonkers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…