Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amesema Tanzania yenye idadi ya watu zaidi ya milioni 60 lakini walipa kodi hawazidi watu milioni 2 jambo ambalo linasababisha watu hao wachache wanaolipa kodi kulazimika kubeba mzigo mkubwa
Pamoja na hayo pia kuna tatizo kubwa la unemployment na underemploymentLabda angesema direct tax ila indirect tax tunalipa wote mfano kwenye luku kila mtu anakatwa kodi, kununua bando la simu unakatwa kodi, kununua soda unakatwa kodi maana VAT ni shift able na tunaoilipa ni watumiaji wote wa mwisho.
So direct tax wanalipa million 2 ila indirect tax wanalipa zaidi ya million 30.
Kingine watu million 62 hawazalishi, mind you zaidi ya 50% ya waTanzania ni under 18 yaani watoto. So ilipaswa takwimu zake ziwe kwenye labor kwamba watu wangapi wanaozalisha hawalipi kodi. Utakuta wenye kazi au biashara ni million 10 pekee so takwimu zinakua tofauti na ukitoa general population
Maofisi ya serikali mengi kuna watu weupe vichwani Mivyeo wanapanda kwa kuangalia miaka tu anayokaa ofisini lakini kichwani unakuta hamna kitu na kazi hajuiAnajua kuliko wewe,hajaokotwa huyo amekulia humo TRA
Ndiyo wasomi wetu hao wanaopewa mamlaka.Ndo maama mambo yanashindikana kwa sbb wanaplana kwa kutumia vitu ambavyo havipo.TPSF nao wamekuwa vilaza sijui kwanini?wanaongea kama wanasiasaKwa hiyo huyo kamishna anamaanisha katika watanzania mil 62, wote wana sifa ya kulipa kodi ikiwemo watoto, wazee, watu wasiojiweza n.k?...
Ilitakiwa CCM nao kwenye miradi yao walipe kodi, wabunge walipe kodi na mawaziri . Lakini Hawawezi Kwa sababu yakutunga sera zakuumiza tabaka tawaliwa.Hizo ni Mali za ccm wananunua Kwa miradi Yao shida Iko wapi?
Kama hamjaweka mfumo Bora wakufan ya watu wafanyebiashara na kupata kipati basi mtabaki na wachache.Madini yanasombwa bila kulipa Kodi harafu mnakazaniana vitu vidogoDirect tax. Kodi ya moja kwa moja. Indirect tax zinalipwa na watanzania wote. Tax base ya direct tax inatakiwa kuongezeka, hii nchi direct tax inalipwa na watu wachache sana.
Ndiyo maana tunasema mfumo wa kodi siyo rafiki, tumetoa mapendekezo mengi humu ya nini kifanyanyikeKamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amesema Tanzania yenye idadi ya watu zaidi ya milioni 60 lakini walipa kodi hawazidi watu milioni 2 jambo ambalo linasababisha watu hao wachache wanaolipa kodi kulazimika kubeba mzigo mkubwa na hivyo wakati mwingine kusababisha malalamiko ambayo kwenye mazingira ya kawaida yangeweza kuepukika
Akizungumza katika wa kikao kazi kilichowakutanisha TRA na viongozi wa wafanyabiashara Tanzania chini ya uratibu wa TPSF kilichofanyika Johari Rotana Hotel jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi Julai 18, 2024 Mwenda aliyeteuliwa kushika nafasi hiyo hivi karibuni amesema mkakati alioingianao ofisini kwa sasa ni kuhakikisha namba ya walipa kodi inaongezeka nchini.
Pia soma hapa Tunduma: Rais Samia Awataka Wafanyabiashara Walipe Kodi na Tozo kuepuka mikopo. Asema Haziendi Kwenye Mifuko ya Viongozi
Kamishna Mkuu wa TRA bwana Yusuf Mwenda amewataka Wafanyabiashara wasirubuniwe na maofisa wachache wahuni wa TRA
====
My Take
Population structure ya Tanzania ni Pyramid in shape, tuna kundi kubwa la Vijana ambao sio wazalishaji Bali wategemezi.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C9mAfWGtK5h/?igsh=bWlvOTgxeDh5OW9q
kaka mkubwa nauliza kwa nia njema tu,hivi mishahara ya wabunge inakatwa kodi na tozo mbalimbali?Hizo ni Mali za ccm wananunua Kwa miradi Yao shida Iko wapi?
Mtu ndo kaingia kazini, kaona aongeze tax base ya direct tax halafu anashambuliwa. Ndo maana wanaamua kujipigia tu fedha.Kama hamjaweka mfumo Bora wakufan ya watu wafanyebiashara na kupata kipati basi mtabaki na wachache.Madini yanasombwa bila kulipa Kodi harafu mnakazaniana vitu vidogo
Ndiyo maana wanaamua kujifungia wenyewe bila kuwashirikishaMtu ndo kaingia kazini, kaona aongeze tax base ya direct tax halafu anashambuliwa. Ndo maana wanaamua kujipigia tu fedha.
Mtakuwa mnakutana Kila baada ya miezi 3Ndiyo maana tunasema mfumo wa kodi siyo rafiki, tumetoa mapendekezo mengi humu ya nini kifanyanyike
Karibu, japokuwa inategemea watakutana na watu wenye uelewa aina ganiMtakuwa mnakutana Kila baada ya miezi 3
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amesema Tanzania yenye idadi ya watu zaidi ya milioni 60 lakini walipa kodi hawazidi watu milioni 2 jambo ambalo linasababisha watu hao wachache wanaolipa kodi kulazimika kubeba mzigo mkubwa na hivyo wakati mwingine kusababisha malalamiko ambayo kwenye mazingira ya kawaida yangeweza kuepukika
Akizungumza katika wa kikao kazi kilichowakutanisha TRA na viongozi wa wafanyabiashara Tanzania chini ya uratibu wa TPSF kilichofanyika Johari Rotana Hotel jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi Julai 18, 2024 Mwenda aliyeteuliwa kushika nafasi hiyo hivi karibuni amesema mkakati alioingianao ofisini kwa sasa ni kuhakikisha namba ya walipa kodi inaongezeka nchini.
Pia soma hapa Tunduma: Rais Samia Awataka Wafanyabiashara Walipe Kodi na Tozo kuepuka mikopo. Asema Haziendi Kwenye Mifuko ya Viongozi
Kamishna Mkuu wa TRA bwana Yusuf Mwenda amewataka Wafanyabiashara wasirubuniwe na maofisa wachache wahuni wa TRA
====
My Take
Population structure ya Tanzania ni Pyramid in shape, tuna kundi kubwa la Vijana ambao sio wazalishaji Bali wategemezi.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C9mAfWGtK5h/?igsh=bWlvOTgxeDh5OW9q