Yusuph Mwenda: Kati ya watanzania Milioni 62, wanaolipa kodi ni Milioni 2 tu

Nimeona kwenye NBS, Hadi 2019 walikua waajiriwa sekta rasmi ni mil 3
Mwaka huu sijapata
Nashindwa elewa hapo hujawaweka wafanyabiashara ambao nao wanalipa direct. Bado nabisi clouds wamenukuu vibaya au hawakuelewa
Ok. Inawezekana pia kuna tatizo la data. Huenda alitazama idadi ya business tin kwa kulinganisha na non-business tin.

Hata hii ya PAYE ni mwaka juzi nadhani ndo waajiri ni lazima kufile PAYE na SDL kwa kuweka tin. Kabla ya hapo ni majina tu.
 
Ok. Inawezekana pia kuna tatizo la data. Huenda alitazama idadi ya business tin kwa kulinganisha na non-business tin.

Hata hii ya PAYE ni mwaka juzi nadhani ndo waajiri ni lazimika kufile PAYE na SDL kwa kuweka tin. Kabla ya hapo ni majina tu.
Inawezekana kabisa, ndio maana nikasema itakua kuna namna alivyocategorize, lakini wa direct tax ni zaidi ya hao mil 2
Kwa sababu pia ukiacha wafanyakazi walioajiriwa na wafanyabiashara, Kuna mamilion ya wakulima kwa Sasa wanalipa pesa direct za mazao yao, na kuna wakusanya hizo kodi wameajiriwa kabisa huko mikoani wanatembea na efd kwenye kila gate
 
Hawa wangerasimishwa kodi zilipwe kwa tin ili hata wakitaka kuona historia zao za kodi wazione.

Hii itasaidia serikali kuangalia namna ya kukuza ufugaji wa kibiashara na kumwezesha mfugaji just kwa kutazama historia ya kodi ya mfugaji husika na kuwekeza kutafuta masoko ya nyama nje.

Dunia inahitaji chakula, vijana wanahitaji ajira, kwanini inashindikana?
 
Ila TRA wanakadiria kodi kindezi sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Yani hawafanyi tathmini ila wanakuuliza wewe unaweza kulipa kodi kiasi gani.
Kule kwenye kujaza turn over ya mwaka popote unapoweza kujaza we unakaza tu.
Hata ukichagua turnover ya 4milions ilhali unaingiza zaidi ya hiyo wala haifahamiki.
 
Munashangaa Nini raisi wa nchi halip ilete shera mpya i Kodi na viongozi wengi wa kiserekali na kichama hawalipi kodi

Katiba mpya ilete Sheria mpya
Tume ya uchaguzi iweke Cha ulipaji Kodi ndo mtu aruhusiwe kugombea

Kama hata tin no huna unagombea uongozi kuongoza Nini

Hivi mama Abdul ana tin no kweli??
 
Kama uzalendo utapimwa kwa kulipa kodi tupo wazalendo tra inatutambua

Kuna watu wanapiga kelele humu ndani hata tin no hawana hawalipi kodi
 
Na hapo toa watu wa gavoo,bunge na mahakama
 
na huko zenji alikotoka wakojani wangapi wanalipa kodi
 
Na kati ya kodi zinazolipwa ni asilimia ngapi inayotumika kwenye miradi ya maendeleo na asilimia ngapi inayotumika kwa kuliwa na wajanja na kununua wapinzani na kulipa wasanii ili waipigie kampeni ccm?
 
Mmhh
Waache ujinga
Usidanganyike
Ukiwa na simu unalipa kodi
Ukinunua umeme unalipa kodi
Ukibet unalipa kodi
Ukifanya transaction za kibenk na mitandao kuna kodi
Ukinunua kitu dukani kuna kodi..how come they say only 2M contribute to tax
 
Hivi hii ni kodi gani wanayozungumzia?
kuna PAYE kwa mfanyakazi
Kuna ushuru wa mazao kwa mkulima
kuna ushuru kwa mfugaji
Kuna kodi kibao kwenye LUKU
Kodi kibao kwenye petrol
Wafanyabiashara nao wana kodi zao...
Sasa hapa anasema ipi hailipwi?
Wabunge wanakatwa kodi?
 
Kama chief taxman tena Mtanzania hawezi kutenganisha watoto,wazee katika ulipaji wa kodi.Ajiri mtu wa kuja kama mhindi au mchina akusanye kodi.
Afrika ikiwemo Tanzania tuna safari ndefu ya kujitambuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…