Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Za chini chini vikao vya viongozi wa kuu wa jeshi vinaendelea baada ya kauli za tesha.
Kama makapteni watampigia kura nyingi kwenye kuunga mkono tamko la shujaa tesha mkuu wa majeshi wala raisi hawezi kuzuia.
Tesha ameongelea mauwaji na utekaji, na ufisadi vitu ambavyo sio siasa kwa kweli bali ni uhalifu na vinahatarisha usalama wa taifa na watu wote.
Mtu huwezi kusmea utekaji na mauwaji na ufisadi wa kutisha ni siasa labda uwe chizi tulipeleka vikosi vyetu congo kupigana na makundi ya mauwaji na utekaji leo vinatokea Tanzania tunaita heti ni siasa na watu wanakufa kwanini huu usiwe ugaidi.