Za chini chini vikao vya viongozi wa kuu wa jeshi vinaendelea baada ya kauli za Tesha

Za chini chini vikao vya viongozi wa kuu wa jeshi vinaendelea baada ya kauli za Tesha

Wanafiki wakubwa nyie! Sasa hivi ndo mnasema hakuuwa na kumtetea na kujifanya mnaumia juu ya kutokuwepo kwake kwenye uso wa dunia? Mnashangaza! Hamna tofauti na pole pole!
Ungekuwa na akili, kabla ya kuhukumu, ungetumia search fuction ya hapa JF au kama una few brain cells left, ungetumia google search operator kama hii site:jamiiforums.com chamoto+magufuli, utaona historia yangu kuhusu misimamo yangu kwa magufuli.
 
Ungekuwa na akili, kabla ya kuhukumu, ungetumia search fuction ya hapa JF au kama una few brain cells left, ungetumia google search operator kama hii site:jamiiforums.com+chamoto+magufuli, utaona historia yangu kuhusu misimamo wangu kwa magufuli.
Ok
 
Si inasemekana matumaini ni bora kuliko kukata tamaa?

Hope is better than dispair.

Wacha tujazane, who knows labda this time ita kuwa kweli.
Huyo Nyani Ngabu na mwenzake Kiranga ni watu fulani hivi majuha sana, kuishi kwao nchi za watu basi wanajiona wao ni welevu sana na wana maono bora sana kuliko wengine wote tuliomo humu kumbe ni wapuuzi tu wanao ji overestimate uwezo wao wa kufikiri.

Hao jamaa hata comments zao humu hazibebi mantiki inayoendana na uhalisia wa maisha yetu ya kiafrika, mitazamo yao imekaa kishoga shoga tu mpaka inaudhi, kuna uzi mmoja niliona wana mshambulia sana Ibrahim Traore na kurusha maneno ya dharau kwa waafrika tunaomkubali Traore, wakawa wanasema eti sisi tuna akili za kijima kama Traore, eti mambo ya kuongozwa na jeshi yameshapitwa na wakati.

Yaan jamaa wanajiona wana akili na wako very civilized kumbe ni wapumbav tu fulani wasiojua hata kusoma fikra za watu kuwa ni kwanin hiki kitu fulani wengi wanakipenda wakati wao binafsi wanakiona cha ajabu..!! Wajinga sana hao.

Mfano kma sasa hivi hapa nchini kwetu iko wazi wote tunajua jinsi manyang'au ya ccm yanavyotutesa na hitaji pekee tulilonalo sasa hivi ni kuona haya maccm yanaanguka haijalishi yanaangushwa na nani, haya anatokea mtu wa kutupa matumaini kama Captain Tesha wao wanaanza kumbeza, sasa hao watu tuwaelewe vipi? Majinga hayo.
 
Back
Top Bottom