Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,952
- 56,156
Watanzania wameshachoshwa na hii serikaliHiyo Bajaj inatembea na hiyo picha? Jumanne Mulilo akikutana nayo sijui itakuwaje?
Lakini pia huyo mwenye Bajaj; inaeleza ni mtu wa namna gani katika mazingira yaliyopo sasa.
Nadhani tunakwenda vizuri hadi sasa.