Za chini chini vikao vya viongozi wa kuu wa jeshi vinaendelea baada ya kauli za Tesha

Hakuna cha kura wala kula.

Ni stori za kujijaza upepo wa matumaini tu.

Watu wenye nia ya kufanya kweli, hutenda.

Watendaji wa kweli huwa hawa telegraph mipango yao namna hiyo, hususan hayo masuala ya jeshi kupindua serikali.

Kwanza ni mambo yaliyokwisha pitwa na wakati.
 
At Kalamu pick ya poison

https://dn790003.ca.archive.org/0/items/pdfy--Pori1NL6fKm2SnY/The Creature From Jekyll Island.pdf

☝️hiko kitabu ni classic political economy


View: https://m.youtube.com/watch?v=fOfZev0pd64
☝️Hiyo ni podcast inajadili kitabu cha Plato ‘Republic’ the most influential philosophical and political book forever; hao scholars wanakifanyia evaluation and analysis. Hili wewe uelewe mantiki ya mjadala unaposoma, ni kigumu kuelewa kama unakisoma kwa mara ya kwanza.

The point is kuna podcast nyingi on whatever topic which ‘tickles your fancy’ to relax with from YouTube.


Hiyo website pia ina cinema nyingi za bure classic ambazo hazipo Netflix na vitabu luluki.

Bado kuna links which I can’t share unapata cinema mpya bure.



Kuna free links nyingi za kuangalia free sports (that a live pre-season game). Unfortunately I can’t share the link. Moja niliyo share JF binafsi niliitumia kwa miaka 5 bila ya shida, three months baada ya kuiweka JF ikafungwa.

Why naandika hivi, uwezi tumia siku nzima unagombana na watu. Kuna tofauti ya watu kubishana kwa hoja na kutukanana.

Wewe 70% ya michango yako ni kutukanana na watu, yaani sisi wengine 9/10 tukitukanwa tunaacha. Wewe unaweza gombana watu siku nzima ukitoka kwa huyu unaamia kwa mwingine.

Serious find other ways to distract your mind, hata hao hakina Mnyika na Heche hawana ushambenga wako kwa CDM, worst kazi yako kutukana watu ambao ukubaliani nao.

Nigger change
 
Mkuu, umeongea ukweli ambao mimi nilibishana na watu kibao tokea kipindi hiko, naendelea kusisitiza, JPM hakuwahi kuuwa watu kama tulivyokuwa tukiaminishwa
 
Mkuu, umeongea ukweli ambao mimi nilibishana na watu kibao tokea kipindi hiko, naendelea kusisitiza, JPM hakuwahi kuuwa watu kama tulivyokuwa tukiaminishwa
Wamefikia walipo kwa kujiaminisha uongo wao. Like serious unakuta baadhi ya members humu repeatedly kila wasaa anaandika Magufuli alikuwa katili wakati ni upuuzi ulio kichwani kwake tu.

Yetu macho on the inevitable outcome,

Hata huyo Captain Tesha kwao ni figisu wakati mtu kafanyia live akiwa kwenye kambi ya jeshi inavyoonekana na kuweka pazia tu.

Kilichopo mbele hakikwepeki ufisadi unakera, ila mauaji ya vijana wasio na hatia kwa maswala ambayo wanaweza kupewa adhabu ya vibao tu inatosha, huko ndio kunako kera zaidi.

Yaani hawa watu hawathamini maisha kabisa, kwenye harakati zao za kuiba; it’s sickening.

Nchi haiwezi kumuendekeza huyo serial killer anaebariki haya mauaji (na sio Samia) yeye ni mateka tu wahuni.

These killings have to be stopped, inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…