Watanzania wameshachoshwa na hii serikaliHiyo Bajaj inatembea na hiyo picha? Jumanne Mulilo akikutana nayo sijui itakuwaje?
Lakini pia huyo mwenye Bajaj; inaeleza ni mtu wa namna gani katika mazingira yaliyopo sasa.
Nadhani tunakwenda vizuri hadi sasa.
Yani jamaa anajionaga yeye ndio yeye mie nimeblock anajiona ana akili jf nzima kumbe pimbi tuDelusions tell you, you're intelligent! That's not surprising.
Wewe kwa structure ya JWTZ na mwenendo wake unaona kuna hilo suala la CDF kuitisha kura ya maoni ya makapteni. Kwa JWTZ hii hii?Hiyo kura huko jeshini Kama kweli ipo ni ya kuwatafuta wahaini ili waende pamoja na Tesha huko court marshal. Najiuliza tu, hivi jeshini nako maamuzi huwa hutolewa Kwa amri au Kwa kura? Na hizo kura ni Kwa ma captain pekee nchi nzima au ni Kwa wanajeshi wote na vikosi vyote nchi Nzima?
Itapendeza kama watapiga kura wote ukiwaondoa polisi ambao watu hawana imani nao- yaani JWTZ pekee.
And you keep reminding him in every post ..If it makes them happy, let them be.
Kuna matumaini yanawapa watu hisia kwamba kitu fulani kinaenda kutokea, hata kisipotokea ila angalau kimesemwa.
Killings, abductions, wizi wa mali za umma, uzembe nk ndio vitu watu wanapambania.
Huyu jamaa bwana atuwache kabisaUnawshangaa?
Unawakumbusha?
Waache wajijaze
Why didnβt you let me be?If it makes them happy, let them be.
Kuna matumaini yanawapa watu hisia kwamba kitu fulani kinaenda kutokea, hata kisipotokea ila angalau kimesemwa.
Killings, abductions, wizi wa mali za umma, uzembe nk ndio vitu watu wanapambania.
Unadhani itakuwaje ukirudi na kuchekwa wewe in return?Sijawakataza.
Nitarudi baadaye kuwacheka na kuwasimanga kwa ujinga, ujuha, na upumbavu wao.
Sisi tunataka utawala huu uondoke, nothing more. Mambo ya kuja kuchekana kwa issues sensitive namna labda itakuwa unafurahia mambo yanavyoenda. Yaani mtu uamue tu kucheka wenzako kwa sababu wanaona utawala ni mbovu, unauwa na kuiba halafu ikatokea wakashindwa kufikia malengo wewe uje kucheka? Sijui utakuwa umemaanisha nini?Why didnβt you let me be?
Kwani nimewakataza watu wasijipe hizo false hopes?
Naona wengi wenu hamuupendi ukweli ndo maana mnafura mnapoambiwa.
Ukweli ni mchungu na mpo kwenye denial lakini deep down nadhani mnakiri kuwa ninachosema ni kweli.
Hakuna niliyemkataza asijipe matumaini hewa.
Knock yourselves out with it and I will continue to observe and opine.
I'm dealing with 'super Artificial Intelligence'; siyo takataka kama hizi tena! You still live in caves!At @Kalamu pick ya poison
At @Kalamu pick ya poison
Huyo jamaa anajidai anaishi USA kumbe anaishi kinsenvuleUnanishangaza sana, unajua kwa nini ?
Mimi hapo nimeongelea suala la kupinga utekaji na mauwaji, na ufisadi sasa sijui linauhusiano gani na upumbavu hivi ume connect ubongo wako vizuri ukajiona mzima kichwani.
heti mbumbumbu ananiita mimi mpumbavu inasikitisha sana
Usiangaike na mmeba boxUnanishangaza sana, unajua kwa nini ?
Mimi hapo nimeongelea suala la kupinga utekaji na mauwaji, na ufisadi sasa sijui linauhusiano gani na upumbavu hivi ume connect ubongo wako vizuri ukajiona mzima kichwani.
heti mbumbumbu ananiita mimi mpumbavu inasikitisha sana
π π πSijawakataza.
Nitarudi baadaye kuwacheka na kuwasimanga kwa ujinga, ujuha, na upumbavu wao.
Nifundishe namna ya kumblock mtu jf..nataka nianza na weweYani jamaa anajionaga yeye ndio yeye mie nimeblock anajiona ana akili jf nzima kumbe pimbi tu
Hakuua kama walivyomsingizia, hata kuweka sahihi ya kunyongwa kwa watu waliohukumiwa kunyongwa, alikataa hadharani.Mkuu, umeongea ukweli ambao mimi nilibishana na watu kibao tokea kipindi hiko, naendelea kusisitiza, JPM hakuwahi kuuwa watu kama tulivyokuwa tukiaminishwa
Wanafiki wakubwa nyie! Sasa hivi ndo mnasema hakuuwa na kumtetea na kujifanya mnaumia juu ya kutokuwepo kwake kwenye uso wa dunia? Mnashangaza! Hamna tofauti na pole pole!Hakuua kama walivyomsingizia, hata kuweka sahihi ya kungongwa kwa watu waliohukumiwa kunyongwa, alikataa hadharani

Mnapenda tucheke tusahau machungu ya nchi πΉπΉπΉWatu wanaishi ughaibuni wakipigwa miti na wazungu halafu wanaleta dharau.
Hitimisho lako nini sasa we *****Wanafiki wakubwa nyie! Sasa hivi ndo mnasema hakuuwa na kumtetea na kujifanya mnaumia juu ya kutokuwepo kwake kwenye uso wa dunia? Mnashangaza! Hamna tofauti na pole pole!