Pre GE2025 Za ndani kabisa 2025, Fomu ya urais ndani ya CCM ni zaidi ya moja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hasara ni ndogo ukilinganisha na faida !
Ni bora akosee mmoja kuliko kukosea wengi !

Akikosea mmoja haiwezi kuwa hasara kubwa kama wakikosea watu lukuki !
 

Wakosoaji hawakuwa wakipendwa na hata tawala zote zilizopita !
Na walipata madhila ya kiasi chao !
Ila ukweli utabaki pale pale kwamba wakosoaji ni watu wema wanaoitakia mema Nchi kama ulivyosema !
Haipaswi kuwachukulia kama ni maadui wa Nchi !
Ndio maana nasema awe Muadilifu kweri kweri ! 🙏
 
Ni vignumu sana wapinzani kupata kiti cha urais. Ingawa ccm ina maovu mengi lakin ninaomba watuletee mgombea mwingine lakini sio samia. Samia ameonyesha udhaifu mkubwa sana kuliko maraisi wote waliopita. Ccm lifanyieni taifa la tanganyika wema kwa kutuletea raisi anaefaa kuliongoza taifa letu. Naunga mkono suala la kutoa fomu zaidi ya moja kwa wagombea wa ccm ili kama samia atapita awe amepita kihalali kupitia mchujo ndani ya chama.
 

pia ieleweleke kuwa hajawahi kuchaguliwa kuwa Rais, aliwekwa tu mahala kama geresha, mara paaap! kudra!!!!;
 
CHADEMA wana shida sana wale. Wanajiwazaga wao kabla ya wananchi!
Ilipaswa waje na sera kuwafungulie milango wote wasiomkubali bi Chura.
Lakini kwa ninavyo wafahamu wataanza masuala ya kuwaogopa wahamiaji!
Kushinda uchaguzi is all about numbers!
Hata wanao hamia kuja kuvuruga unadhani ni sawa, au una maana gani?
 
Hii ni kwa mjibu wa akili yako inavyo kuelekeza wewe. Usifanye ndio uwe ukweli usio hojiwa!
Na kwa maoni yako, hao wazee uwajuao wewe tayari wanalo jina la Samia mezani, au siyo?
We zubaa zubaa tu huo ndio ukweli
 
Uongo mtupu. Form ni moja na atakayechukua anajulikana. Samia mi5 tena.
 
Nani kama mama, wanajisumbua bure!
 
Wasiogope wahamiaji. Bali waboreshe internal systems za udhibiti.
Kwani walianza lini kuogopa hao wahamiaji. Kumbukumbu zinaonyesha miaka yote wahamiaji wamepitia CHADEMA na kuishia tena CCM. kama akina Shonza na wengi wengine.
Pengine wewe unalo lengo jingine kuhusu hili unaloona wewe CHADEMA wana woga nalo.
Na kama wana woga na baadhi ya hao wahamiaji, huoni kuwa wanazo sababu za kufanya hivyo?
 
Je mwenyekiti wa chama umeongea naye yeye anasemaje kuhusu hilo swala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…