Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Natamani kuona majina haya yakitokeza katika hatua ya kuchukua form
•January Makamba
•Luhaga Mpina
•January Makamba
•Luhaga Mpina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitolewe nyingi kama hizo pikipiki ili tuona jinsi wasimamizi wasaidizi wa kura watakavyoengua vichwa.Hapa pia nitataraji nione mtunisha kifua atakavyobimbirita sarakasi.Taarifa ndio hiyo inayotembea ndani ya wana CCM kindaki ndaki.
Ni kwamba 2025, rais Samia itabidi apite kwenye kichujio kwa chama kuruhusu wagombea wengine wachukue form kwa ajili ya kuomba ridhaa ya chama kuwapitisha kuwa wagombea urais kupitia chama hicho tawala.
Mchukano utakuwa mkali sana kwa sababu kuna kambi zaidi ya mbili zenye nguvu zilizo onesha hitaji hilo la kum challenge mama katika nafasi hiyo.
Mzee maarufu wa chama inaonekana yupo upande ambao sio wa rais na hapo ndipo panaonekana patakapoleta mchuano mkali, kwa sababu mwishoni mama atasalitiwa na wale anao amini ndio wabeba siraha zake.
Najiuliza kwa hii staili ya kuji brand kila eneo kwa kuwa matangazok kila eneo, piki piki zenye nembo ya mama nchi nzima halafu wajumbe wa chama wakamtosa kwenye kichang'anyiro cha urais, mama ataficha wapi sura yake.
View attachment 3156811
Kaa kwa kutulia, nafasi ya urais awamu ya 7 imeanza kunoga kuelekea 2025.
Kikubwa mama asisahau kwamba watanganyika bado hatujamalizana nae.
Kiuhalisia inatakiwa iwe hivyo maana anamalizia miaka ya mwenda zake, kutoka 2015-2025, sasa baada ya hapo unafanyika mchujo kama ilivyokuwa 2015 mpaka akina mizengo pinda walikuwa kwenye kinyang'anyiro alipokatwa akazimia kwanza
Ilatu wasihangaike na binadamu,wahangaike na mbuzi,kuku,ngamia hata na fisi watajua wenyewe.Sasa watu watauana sana huko, January, Mwigulu, Mpina na Kiswaswadu waganga watavuna hela nyingi sana na mbuzi weupe watauzwa kwa bei kama ya ngamia.
Kwa huyu aliyepo,Huyu mama wao na chawa anatakiwa kuchunguzwa na Takukuru Kwa kugawa rushwa ya pikipiki ili kuwashawishi wananchi kumchagua 2025
nimeamini kuwa na kipara siyo ndiyo kuwa na akili nyingiHakuna jambo kama hilo hii sio tetesi umejitungia baada ya kupata picha za hizo pikipiki!
Na ndiyo maana hawataki Katiba mpyaKwa huyu aliyepo,
Ile Kinga ya kutoshtakiwa haikutakiwa kuwepo.
Natamani kuona majina haya yakitokeza katika hatua ya kuchukua form
•January Makamba
•Luhaga Mpina
Aisee huyu mama mitaani anachukiwa sijawahi kuona raia amechukiwa namna hii. Na wanawake wenzake ndiye wanaongoza kwa kumchukia.Kuamini kwamba atarudi tena kutuongoza Awamu ijayo,
Ni Hadi ujichomoe nyaya kadhaa kichwani.
Ila kiukweli,
HATOGOMBEA!!
Tlaaltlaa mtamuua na Kipara kipyaTaarifa ndio hiyo inayotembea ndani ya wana CCM kindaki ndaki.
Ni kwamba 2025, rais Samia itabidi apite kwenye kichujio kwa chama kuruhusu wagombea wengine wachukue form kwa ajili ya kuomba ridhaa ya chama kuwapitisha kuwa wagombea urais kupitia chama hicho tawala.
Mchukano utakuwa mkali sana kwa sababu kuna kambi zaidi ya mbili zenye nguvu zilizo onesha hitaji hilo la kum challenge mama katika nafasi hiyo.
Mzee maarufu wa chama inaonekana yupo upande ambao sio wa rais na hapo ndipo panaonekana patakapoleta mchuano mkali, kwa sababu mwishoni mama atasalitiwa na wale anao amini ndio wabeba siraha zake.
Najiuliza kwa hii staili ya kuji brand kila eneo kwa kuwa matangazok kila eneo, piki piki zenye nembo ya mama nchi nzima halafu wajumbe wa chama wakamtosa kwenye kichang'anyiro cha urais, mama ataficha wapi sura yake.
View attachment 3156811
Kaa kwa kutulia, nafasi ya urais awamu ya 7 imeanza kunoga kuelekea 2025.
Kikubwa mama asisahau kwamba watanganyika bado hatujamalizana nae.
Alijifnya munguActually hata kama ingekuwa ni full term president na kumaliza kipindi cha kwanza cha miaka 5 lakini anapokuja kugombea kipindi cha pili bado forms zinpaswa kutolewa kwa ambao wako interesting na sio kwa mgombea mmoja ambae ni Rais tu , hiyo haitendi haki.
Ilianzia kwa JPM kama sikosei. Na Mungu akakataa.
Enzi za nyuma zilitolewa forms zaidi ya moja.
Sasa Choicevariable atakula wapi? Luca aanze kutafuta kazi nyingineAmekubali mwenyewe yaishe.
Hahahaaa....Kama ni kweli watauana sana
hqbari imefanya Jioni kuwa njema sanaTaarifa ndio hiyo inayotembea ndani ya wana CCM kindaki ndaki.
Ni kwamba 2025, rais Samia itabidi apite kwenye kichujio kwa chama kuruhusu wagombea wengine wachukue form kwa ajili ya kuomba ridhaa ya chama kuwapitisha kuwa wagombea urais kupitia chama hicho tawala.
Mchukano utakuwa mkali sana kwa sababu kuna kambi zaidi ya mbili zenye nguvu zilizo onesha hitaji hilo la kum challenge mama katika nafasi hiyo.
Mzee maarufu wa chama inaonekana yupo upande ambao sio wa rais na hapo ndipo panaonekana patakapoleta mchuano mkali, kwa sababu mwishoni mama atasalitiwa na wale anao amini ndio wabeba siraha zake.
Najiuliza kwa hii staili ya kuji brand kila eneo kwa kuwa matangazok kila eneo, piki piki zenye nembo ya mama nchi nzima halafu wajumbe wa chama wakamtosa kwenye kichang'anyiro cha urais, mama ataficha wapi sura yake.
View attachment 3156811
Kaa kwa kutulia, nafasi ya urais awamu ya 7 imeanza kunoga kuelekea 2025.
Kikubwa mama asisahau kwamba watanganyika bado hatujamalizana nae.
Luka huyo ni multi purpose atajibadilisha matumizi tu.Sasa Choicevariable atakula wapi? Luca aanze kutafuta kazi nyingine