Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAFI sana 2025 RAIS MWANAUME TOKA BARA 🤣🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 KWAHERI YA KUONANA 🐸🐸 KIZIWI 🤣🤣🤣Taarifa ndio hiyo inayotembea ndani ya wana CCM kindaki ndaki.
Ni kwamba 2025, rais Samia itabidi apite kwenye kichujio kwa chama kuruhusu wagombea wengine wachukue form kwa ajili ya kuomba ridhaa ya chama kuwapitisha kuwa wagombea urais kupitia chama hicho tawala.
Mchukano utakuwa mkali sana kwa sababu kuna kambi zaidi ya mbili zenye nguvu zilizo onesha hitaji hilo la kum challenge mama katika nafasi hiyo.
Mzee maarufu wa chama inaonekana yupo upande ambao sio wa rais na hapo ndipo panaonekana patakapoleta mchuano mkali, kwa sababu mwishoni mama atasalitiwa na wale anao amini ndio wabeba siraha zake.
Najiuliza kwa hii staili ya kuji brand kila eneo kwa kuwa matangazok kila eneo, piki piki zenye nembo ya mama nchi nzima halafu wajumbe wa chama wakamtosa kwenye kichang'anyiro cha urais, mama ataficha wapi sura yake.
Kaa kwa kutulia, nafasi ya urais awamu ya 7 imeanza kunoga kuelekea 2025.
Kikubwa mama asisahau kwamba watanganyika bado hatujamalizana nae.
Nakubaliana na wewe moja kwa moja.Ni vignumu sana wapinzani kupata kiti cha urais. Ingawa ccm ina maovu mengi lakin ninaomba watuletee mgombea mwingine lakini sio samia. Samia ameonyesha udhaifu mkubwa sana kuliko maraisi wote waliopita. Ccm lifanyieni taifa la tanganyika wema kwa kutuletea raisi anaefaa kuliongoza taifa letu. Naunga mkono suala la kutoa fomu zaidi ya moja kwa wagombea wa ccm ili kama samia atapita awe amepita kihalali kupitia mchujo ndani ya chama.
Kama mie ningekuwa ndani ya CCM ningekubaliana na hili kwani 2015 JPM wa awamu ya 5 alishindanishwa na wenzake ndani ya chama na akapita hiyu wa sasa hakuwa chaguo la chama bali aliteuliwa na Magufuli amsaidie na alipokufa Katiba ya nchi ikampa ridhaa kushika hatamu.Hakuna jambo kama hilo hii sio tetesi umejitungia baada ya kupata picha za hizo pikipiki!
Kipindi cha pili cha Magufuli hakukuwa na mshindani nafikiri ni Membe aliye tishia tishia akaishia kukimbia sasa huyu naye ni kama yupo second term yake kama ilivyo mazoea sio kanuni wala sheria hana budi kuachiwa amalize bila upinzani wala pingamizi!Kama mie ningekuwa ndani ya CCM ningekubaliana na hili kwani 2015 JPM wa awamu ya 5 alishindanishwa na wenzake ndani ya chama na akapita hiyu wa sasa hakuwa chaguo la chama bali aliteuliwa na Magufuli amsaidie na alipokufa Katiba ya nchi ikampa ridhaa kushika hatamu.
Kwa hiyo huyu hajawahi kushindanishwa na wengine ndani ya chama bali lilikuwa chaguo la Magufuli kuwa makamu wake tu.
Sasa lazima arudi ashindanishwe na wenzake sio kupenda mtelemko wa dezo kwa kifo cha aliye mteua awali.
After all anaogopa nini wakati yeye ameshapata nafasi ya kuonyesha uwezo wake? Anaweza kujinadi na Royotuwa (stelingi yeye na mzungu) akawaombea kura kwa umahiri wa kucheza filamu (kwi kwi kwi) na kwa ninavyo wajua ccm atapewa kura
Tatizo ni internal systems za udhibiti pale CDM hazipo vizuri.Kwani walianza lini kuogopa hao wahamiaji. Kumbukumbu zinaonyesha miaka yote wahamiaji wamepitia CHADEMA na kuishia tena CCM. kama akina Shonza na wengi wengine.
Pengine wewe unalo lengo jingine kuhusu hili unaloona wewe CHADEMA wana woga nalo.
Na kama wana woga na baadhi ya hao wahamiaji, huoni kuwa wanazo sababu za kufanya hivyo?
😂😂😂😂 imebidi nicheke aiseee, ila kwa Watanzania izo mambo ya unafiki na kugeukana ni dakika 1 tu.Kikulacho ki nguoni kwako. Ukisikia fitina, basi huku Tanganyika ndiyo chuo cha fitina. Watu wanacheka na mtu mchana lkn usiku wanamuua.
Hiyo ndo kanuni, ikiwa Kuna wagombea wengine, mwenyekiti aliepota ndie hua mwenyekiti na kuongoza mchakato huo. Imewekwa hivyo Ili kutenda haki katika ushindani na ndio sababu ukaona CCM waliamua Raia ambae ndo mwenyekit wa Cha akae bila kugombea na wenzie kwa awamu mbili. Kwa muktadha huu, ikiwa fomu itachaowa zaidi ya Moja basi JK ndo atakuwa mwenyekiti wa
Kama ishu iko ivyo et Jk awe mwenyekiti wa Muda hahaha ngoma imeishia hapo, ila kama iko ivyo basi B Mkubwa atafosi fomu iwe moja, ili kuepuka kumpa JK uenyekiti wa muda.Hiyo ndo kanuni, ikiwa Kuna wagombea wengine, mwenyekiti aliepota ndie hua mwenyekiti na kuongoza mchakato huo. Imewekwa hivyo Ili kutenda haki katika ushindani na ndio sababu ukaona CCM waliamua Raia ambae ndo mwenyekit wa Cha akae bila kugombea na wenzie kwa awamu mbili. Kwa muktadha huu, ikiwa fomu itachaowa zaidi ya Moja basi JK ndo atakuwa mwenyekiti wa muda...
Sasa naanza kukuelewa unapo simamia.Tatizo ni internal systems za udhibiti pale CDM hazipo vizuri.
Ukiwasikiliza wengi wakiongea it's like wao wanatosha kuchukua utawala wa nchi... Na ikiwa hivyo watawashughulikia vilivyo waliopo upande wa pili! Wrong messaging!
Badala ya kuwasaka viongozi wenye ushawishi wanaokerwa na uwepo wao ndani ya defunct system ya ccm... Wao utaona wanapambana bila malengo wakati huo hata kusimamisha wagombea kwenye nafasi zote nchi nzima hawawezi!
Washaurini wajisogeze chini zaidi kwa wananchi. Nchi hii wale tunaowaona "wajinga" ndo wapiga kura! Ndo maana ccm wapo nao bega kwa bega!
Wewe umeona "CCM wapo bega kwa bega" na wananchi? Wapi huko ulipo wewe na kuona hali hiyo?Washaurini wajisogeze chini zaidi kwa wananchi. Nchi hii wale tunaowaona "wajinga" ndo wapiga kura! Ndo maana ccm wapo nao bega kwa bega!
Wewe unavyo vigezo vipi ambavyo unaona CHADEMA hawana kuwawezesha "kuchukuwa utawala wa nchi"? Ni viongozi gani ambao unafikiria wewe wapo nje ya CHADEMA ambao endapo chama hicho kitaachana na uoga wa wageni watawasaidia kuwa na sifa za kuchukuwa nchi?Ukiwasikiliza wengi wakiongea it's like wao wanatosha kuchukua utawala wa nchi... Na ikiwa hivyo watawashughulikia vilivyo waliopo upande wa pili! Wrong messaging!
Sasa huyu ni lini aliwahi kushindanishwa na mwenzake?Kipindi cha pili cha Magufuli hakukuwa na mshindani nafikiri ni Membe aliye tishia tishia akaishia kukimbia sasa huyu naye ni kama yupo second term yake kama ilivyo mazoea sio kanuni wala sheria hana budi kuachiwa amalize bila upinzani wala pingamizi!
Sasa huyu ni lini aliwahi kushindanishwa na mwenzake?
Au kwa vile mwanamke ndio maana mnataka asishindanishwe?
Kwani urais ni Ndoa bana?
Na huo ndio ukweliKama mie ningekuwa ndani ya CCM ningekubaliana na hili kwani 2015 JPM wa awamu ya 5 alishindanishwa na wenzake ndani ya chama na akapita hiyu wa sasa hakuwa chaguo la chama bali aliteuliwa na Magufuli amsaidie na alipokufa Katiba ya nchi ikampa ridhaa kushika hatamu.
Kwa hiyo huyu hajawahi kushindanishwa na wengine ndani ya chama bali lilikuwa chaguo la Magufuli kuwa makamu wake tu.
Sasa lazima arudi ashindanishwe na wenzake sio kupenda mtelemko wa dezo kwa kifo cha aliye mteua awali.
After all anaogopa nini wakati yeye ameshapata nafasi ya kuonyesha uwezo wake? Anaweza kujinadi na Royotuwa (stelingi yeye na mzungu) akawaombea kura kwa umahiri wa kucheza filamu (kwi kwi kwi) na kwa ninavyo wajua ccm atapewa kura
Duh Kina nani tena hao wanasema ivo?Ni sawa usemavyo. Lakini kwa upande wa pili wa CCM hawatakuwa tayari kuona Mama akiendekea. Wanasema Katiba ya Chama chao Rais atakaa Ikulu kwa miaka kumi. Baada ya hapo atawapisha wengine. Sasa alikaa Ikulu term ya kwanza (5yrs) akiwa kama Makamu wa Rais. Term ya pili ni hii anayomalizia akiwa Rais Kamili kwa mujibu wa Katiba ya Nchi yetu. Na ndiyo maana wao hawakubaliani kuita hii ni awamu ya sita bali ni awamu ya tano term ya pili.
Ili iwe awamu ya sita kulipaswa apite kwenye mchakato wa mchujo. Sasa upande wa pili wa Chama wanasema endapo atang'ang'ania basi ni lazima apite kwenye mchujo yaani lazima fomu ziwe zaidi ya moja.
Wanasema hawako tayari kumpata Mgombea wa CCM wa awamu ya sita ambae hajapitia utaratibu wa kawaida wa mchujo. Hivyo mchakato wa wa kumpata Mgombea lazima uwe wa mchuano.
Huyu mama ana uwezo mdogo ukweli usemwe kaua Tanroad na TaruraHana chake huyo tunamsubiri by June 2025 aanze kufungasha vilago!!!
Kipindi hiki hatukati tunachinja
Lasivyo tugawane mbao