Tetesi: Za ndani kabisa, Biteko kuwa makamu mwenyekiti wa ccm

Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.

Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
Je yuko tayari kushiriki Mauaji?
 
Haijalishi ni wa pili au ni WA mia moja. Ishu ni majukumu ya kikatiba atayagusa vipi wakati katiba haimtambui?

Usifurahie ubakwaji wa katiba, kuna siku utajutia madhara yake yakikufikia.
kweli elimu ya katiba inahitajika...

hata hivyo,
hata huoni aibu kwamba hata wale manguli na vimbelembele wa sheria nchini, hawakuwahi kunyanyua midomo yao kwenye jambo hili? unadhani ni kwanini badala yake wanaongea kuhusu maandamano tu? 🐒
 
Hilo linawezekana sababu kubwa ni kanda ya ziwa ina wapiga kura.wengi na kivuli cha magufuli kinaendelea kuwatesa ccm.

Miradi yote wanaendeleza vision and legacy ya magufuli japo hata stendi inawashinda kuiendesha
Kamfufue, sisi tunajua Rais ni Samia hadi 2035, we rais wako uyo maiti ni haki yako
 
Unanijua mm ni nani? Huongei na vilaza wa ccm hapa.
 
Samia kuwa rais mwisho 2025. Kama kuna mtu bado anamtaka mchukue ampeke nyumbani kwake akawe rais.
 
Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.

Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
Fake news
 
Unanijua mm ni nani? Huongei na vilaza wa ccm hapa.
hayo mambo ya kujimwambafai humu jukwaani si ya kizamani sana aise 🤣

kwamba ndio unanitisha au unanifokea?🤣

eti kwani unajua mi nan?🤣
 
Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.

Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
NWM siyo Cheo Cha Kikatiba
 
Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.

Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
Unaibu waziri mkuu ni uchawa usiokuwa kwenye katiba. Biteko ni kinyweleo cha uchawa kilichoumbwa ili kupata kura za kanda ya ziwa.
 
Awe tu yeyote yule. Ila, habari za fomu moja ya urais hatutaki. Kila mtu ajipime ubavu hakuna mambo ya kudra
If wishes were horses... Kutotaka kwako hakubadili chochote, mkuu. Labda kama wewe una kura turufu ndani ya Sisiemu.
 
Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.

Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
This is absurd. Biteko hawezi kuwa Makamu wa Mwenyekiti.
 
Hilo linawezekana sababu kubwa ni kanda ya ziwa ina wapiga kura.wengi na kivuli cha magufuli kinaendelea kuwatesa ccm.

Miradi yote wanaendeleza vision and legacy ya magufuli japo hata stendi inawashinda kuiendesha
CCM Kwasasa haitegemei kula yako mkuu kwaiyo acha kujitanganya hata magufuli angekuwa na uhakika Kanda ya ziwa mpo wengi na anakubalika asingeharibu uchaguzi 2020
 
Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.

Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
Kikatiba cheo cha Naibu Waziri Mkuu kipo?
 
Hahah mwenyekiti hana uwezo, kwanini huyo BIteko asiwe Mwenyekiti kabisa?
 
Back
Top Bottom