Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Je yuko tayari kushiriki Mauaji?Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.
Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
Jimboni kwake kaua sana wapinzani wake wa ubunge. Ni muuaji mzoefu.Je yuko tayari kushiriki Mauaji?
kweli elimu ya katiba inahitajika...Haijalishi ni wa pili au ni WA mia moja. Ishu ni majukumu ya kikatiba atayagusa vipi wakati katiba haimtambui?
Usifurahie ubakwaji wa katiba, kuna siku utajutia madhara yake yakikufikia.
Kamfufue, sisi tunajua Rais ni Samia hadi 2035, we rais wako uyo maiti ni haki yakoHilo linawezekana sababu kubwa ni kanda ya ziwa ina wapiga kura.wengi na kivuli cha magufuli kinaendelea kuwatesa ccm.
Miradi yote wanaendeleza vision and legacy ya magufuli japo hata stendi inawashinda kuiendesha
Unanijua mm ni nani? Huongei na vilaza wa ccm hapa.kweli elimu ya katiba inahitajika...
hata hivyo,
hata huoni aibu kwamba hata wale manguli na vimbelembele wa sheria nchini, hawakuwahi kunyanyua midomo yao kwenye jambo hili? unadhani ni kwanini badala yake wanaongea kuhusu maandamano tu? 🐒
Samia kuwa rais mwisho 2025. Kama kuna mtu bado anamtaka mchukue ampeke nyumbani kwake akawe rais.Kamfufue, sisi tunajua Rais ni Samia hadi 2035, we rais wako uyo maiti ni haki yako
Fake newsTetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.
Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
Hapo sawa, inawezekana hicho ndio kigezo ccm imetumiaJimboni kwake kaua sana wapinzani wake wa ubunge. Ni muuaji mzoefu.
hayo mambo ya kujimwambafai humu jukwaani si ya kizamani sana aise 🤣Unanijua mm ni nani? Huongei na vilaza wa ccm hapa.
Ni kawaida ya ccm kugawa vyeo kwa mazoba. Biteko, uzoba wake ndiyo unambeba.Huyu Biteko anaandaliwa kuwa nani kwani? Mbona namuona ana utendaji wa kawaida sana hanaga ushawishi wowote
Wala siyo utiifu, ni uzoba uleTukiacha u bloodline wake wa unyaruanda jamaa ni mtiifu sana kwa viongozi wake na wafuasi wake.
NWM siyo Cheo Cha KikatibaTetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.
Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
Unaibu waziri mkuu ni uchawa usiokuwa kwenye katiba. Biteko ni kinyweleo cha uchawa kilichoumbwa ili kupata kura za kanda ya ziwa.Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.
Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
If wishes were horses... Kutotaka kwako hakubadili chochote, mkuu. Labda kama wewe una kura turufu ndani ya Sisiemu.Awe tu yeyote yule. Ila, habari za fomu moja ya urais hatutaki. Kila mtu ajipime ubavu hakuna mambo ya kudra
This is absurd. Biteko hawezi kuwa Makamu wa Mwenyekiti.Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.
Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
CCM Kwasasa haitegemei kula yako mkuu kwaiyo acha kujitanganya hata magufuli angekuwa na uhakika Kanda ya ziwa mpo wengi na anakubalika asingeharibu uchaguzi 2020Hilo linawezekana sababu kubwa ni kanda ya ziwa ina wapiga kura.wengi na kivuli cha magufuli kinaendelea kuwatesa ccm.
Miradi yote wanaendeleza vision and legacy ya magufuli japo hata stendi inawashinda kuiendesha
Kikatiba cheo cha Naibu Waziri Mkuu kipo?Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.
Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??