Tetesi: Za ndani kabisa, Biteko kuwa makamu mwenyekiti wa ccm

Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.

Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
Hakuna wengine wenye sifa!
Mrundikano wa vyeo kwa mtu mmoja,kinaitwa nini
 
Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.

Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
Mkuu ungesubiri udhibitishe ukweli kuhusu tetesi hizo ndio uzilete huku. Haraka ya nini?? Taratibu ndio mwendo mkuu.
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ’­πŸ”Š
 
Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.

Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
Wanyarwanda wanazidi kupandishwa chati tutakuja juta sana huko tuendako sijui kwa nini CCM inawakumbatia sana wahamiaji haramu.
 
Naibu waziri mkuu siyo lazima hiyo nafasi iwepo.kwanza Samia kavunja katiba Kwa kupachika(kuanzisha)cheo ambacho hakipo kikatiba.Anakanyaga katiba Kwa kuwa watanganyika kawaona ni wajinga.
 
Hilo linawezekana sababu kubwa ni kanda ya ziwa ina wapiga kura.wengi na kivuli cha magufuli kinaendelea kuwatesa ccm.

Miradi yote wanaendeleza vision and legacy ya magufuli japo hata stendi inawashinda kuiendesha
Hakuna anayempenda magufuli kanda ya ziwa. Mi nipo hapa mwanza najua hilo
 
Anapendwa Nchi nzima na Wanyonge ila pia anachukiwa na wapigaji Nchi nzima !

Kila kitu kina positive na negative !
Au nasema uongo ndugu zanguniiiii ??!
 
Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.

Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
Samia ni Rais na mwenyekiti wa CCM, inawezekana kwa Biteko kuwa NWM na makamu wa mwenyekiti bara.
 
Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.

Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
Jasusi Kagame amefanikiwa kupenyeza wanyarwanda kwenye uongozi wa juu wa nchi yetu, tumekwisha!
 
Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.

Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
Swali lako linastaajabisha, kwamba hawezi kuwa makamu mwenyekiti ccm na naibu waziri mkuu at the same time!? Mbona Rais ni Mwenyekiti wa CCM na Rais wa nchi?
 
Anapendwa Nchi nzima na Wanyonge ila pia anachukiwa na wapigaji Nchi nzima !

Kila kitu kina positive na negative !
Au nasema uongo ndugu zanguniiiii ??!
Wanyonge ndo wanamchukia sana mana kila kitu kilizinwa mpaka ajira akazimaliza zote na haajiri tena. Unemployment rate iaka rise mpaka 70%. Mama kaipunguza mpaka 20%. Kwa sababu hiyo lazima wanyonge wamchukie. Ila kilindo kile ukimchukia unauawa hivyo watu wakampenda kinafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…