Tetesi: Za ndani kabisa, Biteko kuwa makamu mwenyekiti wa ccm

Mtu tishio na 2025 ndio watampa jukumu la awe makamu mwenyekiti asipate nafasi ya kugombea
 
Tulionywa na kiongozi mwandamizi wa vyombo vya ulinzi na mipaka ya nchi kwamba kuna watu wa mataifa mengine wamejipenyeza nchini kwetu na kushika nyadhifa nyeti ndani ya Serikali yetu - Je kauli hii tumeifanyia kazi.
 
Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.

Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
Unafutaje kitu ambacho hakijawahi kuandikwa!? Constitutionally!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…