KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Week ijayo star wa Bongo Flavor Diamond Platnumz anatarajia kupokea ndege yake inayotokea nchini Canada [emoji1063]
Diamond Platnumz ameamua kuonyesha umafya kwamba hakuna kama yeye East Africa
Kwa hili lazima anaendelee kuchukiwa
naamini maana hua naiona pale banana nadhani Ndio bandari kavu imepaki kungoja Malipo yakamilike ianze kazi!Huamin???[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] timu mondi wana shida sananaamini maana hua naiona pale banana nadhani Ndio bandari kavu imepaki kungoja Malipo yakamilike ianze kazi!
Hahahahahah
Sawa mkuu nitarudi hapa januaty 20 kuulizia tumefikia wapi..... Tuombe uzimaIko SA inatafutiwa kibali
Ni ile ile pale Aviation[emoji23][emoji23]naamini maana hua naiona pale banana nadhani Ndio bandari kavu imepaki kungoja Malipo yakamilike ianze kazi!
Hahahahahah
Sawa mkuu nitarudi hapa januaty 20 kuulizia tumefikia wapi..... Tuombe uzima
ni yenyewe!
itakuwa bado wanamalizia milango na madirisha.Sawa ila ndege ipo ni swala la mda tuu
..itakuwa bado wanamalizia milango na madirisha.
Kaupiga mwingiWeek ijayo star wa Bongo Flavor Diamond Platnumz anatarajia kupokea ndege yake inayotokea nchini Canada [emoji1063]
Diamond Platnumz ameamua kuonyesha umafya kwamba hakuna kama yeye East Africa
Kwa hili lazima anaendelee kuchukiwa
Chawa kaingia mitiniEne apudeti??