Za ndani ni kuwa Ole Sabaya anaenda kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam

Hizi hoja ni za kipumbaf kabisa, hasa kuhusu Chalamila..ni uzushi wa kiwango Cha Hali ya juu..Aina ya kiongozi kama Chalamila ndio anafaa kulisukuma Jiji kama Hilo la Dar.... Same way kama alivyokuwa Makonda..tatizo binadamu nyinyi sijui mnataka mfanyiwe nini..hakuna Cha kugombanisha wananchi na Serikali wali nini..wananchi sometimes lazima uwaambie ukweli, kwanini upindepinde..? Na ukweli utawaweka huruma na kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi mahala popote..Itoshe kusema tu kuwa Chalamila ni kiongozi sahihi kwa wakati sahihi na mahali sahihi..maamuzi ya kumbadili ni utashi tu wa Mh.Rais akiona inampendeza kwa vitu anavyotaka yeye, hiyo sawa..lakini kwa upotoshaji unaosema..noooway...kwa upande mwingine Sabaya ameshasafishwa na Mahakama nadhan, tatizo liko wapi akipewa uongozi...na yeye ni mmoja wa vijana mahili sana na wenye maamuzi chanya kuhusu Taifa letu....Vijana Hawa wacha walete chachu ya uongozi na kusaidia nchi yetu...
Tatizo nyie mafisafi mnapenda mpate mtu ambaye mtaweza kum control ili uchafu wenu uendelee..shwainnnyyy...na bado wacha muendelee kuisoma namba..
..........Dr Samia mbelekwambele......
 
Kama muuaji Makonda amewekwa kuwa miongoni mwa vinara wa CCM, siyo ajabu jambazi Sabaya kupewa uongozi. Itazidi kuwadhihirishia wananchi kuwa CCM na serikali yake ni shetani ndio maana wale waovu kabisa wanawekwa mbele ili wawavute mateka kuwapeleka kwenye uovu wao.

Wauaji wamepewa uongozi CCM na serikalini (ref. Tamko la US, Makonda anawanyima watu haki ya kuishi).

Waporaji wa mali za watu wapo ndani ya serikali ya CCM (ref. hukumu ya mahakama dhidi ya maofisa wa polisi na Sabaya)

Wauzaji rasilimali za nchi wapo ndani ya Seikali ya CCM (ref. Uporaji wa bandari na hifadhi za Taifa, Loliondo, n.k).

Wala rushwa na mafisadi wamejaa ndani ya Serikali ya CCM (ref. report ya CAG).

Majitu yasiyojua utawala wa sheria na demokrasia yamejaa CCM (ref. kauli ya kishetani ya Nape kuwa CCM ikishindwa itafunga goli hata kwa mkono, mkurugenzi kumtangaza mpinzani ameshinda utakuwa hana akili - Magufuli, hata ukiwapigia kura wapinzani, kura itahesabika kwa CCM - Samia).
 
Huwa wanasema aliyehukumiwa kwa kosa la jinai hapaswi kuwa mtumishi wa umma....Sabaya ni jambazi lilipaswa kuwa gerezani
Wewe ndie Hakimu au Judge wa kutoa maamuzi hayo au...maamuzi yako yako Yana base kwenye nini hasa..unaweza peleka ushahidi wako mahakamani
 
Akija hapa dar atauawa haraka Bora asije mana tuna hamu naye sana tumnywe supu
 

Ni bora akawa Raisi baada ya Samia
 
Kuna mengine hayawezekani hata yesu mwenyewe anajua hawezi. Mfano Kim eliminate shetani imeshashindika hiyo na haiwezi japo mnajifariji kuwa yesu anaweza kila kitu
Kwanini unasema hivyo mkuu?
 
Ingependeza angekuwa waziri wa fedha
 
Akija hapa dar atauawa haraka Bora asije mana tuna hamu naye sana tumnywe supu
Mkuu, ndugu Chalamila anaachishwa kazi kws sababu ya kuwashawishi watu kuua. Mbona nawe tena unakuwa kama Chalamila mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…