Za ndani ni kuwa Ole Sabaya anaenda kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam

Chalamila..ni uzushi wa kiwango Cha Hali ya juu..Aina ya kiongozi kama Chalamila ndio anafaa kulisukuma Jiji kama Hilo la Dar.... Same way kama alivyokuwa Makonda
Nimekuambia Sabaya ni pacha wa Makonda. Kama Makonda aliweza kwanini unadhani Sabaya atashindwa?

kwa upande mwingine Sabaya ameshasafishwa na Mahakama nadhan, tatizo liko wapi akipewa uongozi...na yeye ni mmoja wa vijana mahili sana na wenye maamuzi chanya kuhusu Taifa letu
Sasa mbona hutaki Chalamila aondolewe ili ampishe au unataka Dar kuwe na wakuu wa mikoa wawili? Hueleweki. Unaongea jambo halafu unarudi humo humo!

Tatizo nyie mafisafi mnapenda mpate mtu ambaye mtaweza kum control ili uchafu wenu uendelee..shwainnnyyy.
Sabaya alipokuwa DC wa Hai nani alimkontrool? Mbona alikuwa anakwapua fedha za wafanyabiashara bila kuguswa na mtu yeyote?
 
Takataka
 
Wewe ndie Hakimu au Judge wa kutoa maamuzi hayo au...maamuzi yako yako Yana base kwenye nini hasa..unaweza peleka ushahidi wako mahakamani
Watu walishatoa ushahidi na alishahukumiwa mahakamani kwa matendo yake aliyofanya ni vile Tz nchi ya hovyo ndo mana ametolewa
 
Vzr kwa maoni yako kaka. Kwa makosa aliyoshitakiwa nayo sabaya ingekuwa kweli leo asingekuwa uraiani. Yalikuwa ni serious offenses. Sitaki kujua kilitokea Nini,lakin ninachotambua ni mhimili wa mahakama ulio na mamlaka ya kutafsiri sheria ulimpa haki sabaya na light judgement. Mimi kwa maoni yangu Dar inamhitaji sabaya,lakini pia mfumo wa serikali hii ni mbovu na umelegea mno hivyo wameona njia sahihi ya kuelekea 2025 ni kuleta watu wenye ushawishi na kuachana na machawa legelege. Mimi ni muumini wa kiongozi ambaye ni tough, straight forward,fair , eloquent,quick problem solver, listener and visionary. Sabaya anafaa na kama alikuwa na mapungufu ni ya kibinadamu na najua pia atakuwa amejifunza. Watanzania kwenye maendeleo ya Tanganyika na Tanzania tuweke pembeni maslahi binafsi tuweke mbele taifa letu.
 
Huu uzi umeandikwa kwa uhakika kana kwamba Sabaya amekwisha pata uteuzi!!
Mama Abdul Kashi kashi aliyonayo ndani ya chama baada ya kumteua Makonda sio ndogo. Haionekani tu kwa sababu ya unafiki wa wanachama wa ccm!
Sidhani kama atajitakia ajali ya kisiasa kwa kumteua mtu mwingine mtata kama Sabaya!!
 
Huwa wanasema aliyehukumiwa kwa kosa la jinai hapaswi kuwa mtumishi wa umma....Sabaya ni jambazi lilipaswa kuwa gerezani
kumbe sabaya kahukumiwa kwa jinai na yuko mtaani hii taarifa mpya kwangu
 
Kumbe marekani wakitoa taarifa unapokea tu,nilikuwa sijui .Pokea hata na report zinazohusu mwanaume kuolewa na mwanaume ,sisi tunabagua report hatukubali ujinga
 
Tunausubiri huo mkeka kwa hamu kubwa sana.
Mkeka umechanika HIO haipo km uliweka both team to Score basi kitu kimetokea bila bila yaan buyu kwa buyu, umenyanjo HIO haipo
 
Wewe unamuogopa sabaya kwa sababu ni fisadi dhulumati wa wavuja jasho. Inaelekea tangu awashinde kesi mliyombambikia mnayo hofu kama ataibukia wapi tena kimadaraka. Huyo mama yenu baada ya papara zake kupiga vita umagufulu ameangukui pua. Ngoja tuone kama ataweza kumrejesha ulingoni Sabaya.
 
Sabaya ni panya kama panya wengine waliojaa ndani ya CCM. Kwani akirejeshwa madarakani wewe kinakuuma nini? Kaa utulie panya mwenzenu arejeshwe madarakani msaidiane kutafuna keki ya taifa. Mnawatawala misukule hamna haja ya kugombea keki. Kuleni kwa nafasi bila kubaniana.
 
hongera sn mamaa....sabaya atinge mjini awakate maskio kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…