Za ndani ni kuwa Ole Sabaya anaenda kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam

Kwamba nchi hii ina viongozi wapuuzi kiasi hicho cha kukosa wa kuiongoza Dar mpaka wamteue Sabaya, labda kama kama unamaanisha Uteuzi wa kiongozi wa genge la wahalifu jijini Dar.
Kama Kuna hata jaribio au fikra tu ya namna hiyo ngoja Wazungu watuite uncivilized baboon, maana hata nyani wa kawaida hawezi kufanya hivyo. Ni nyani asiyestaarabika tu ndio anaweza kunajisi nchi hivyo ila kwa Rais wetu hawezi nafikir kufanya hiyo dhambi.
 
Ndg tuwe watulivu tutamuharibia ndg yetu Sabaya
 
Kama makonda kaweza kwann sabaya
 
𝚄𝚖𝚎𝚖𝚊𝚕𝚒𝚣𝚊 𝚔𝚞𝚋𝚠𝚊𝚋𝚠𝚊𝚓𝚊 𝚊𝚞 𝚔𝚞𝚗𝚊 𝚖𝚎𝚗𝚐𝚒𝚗𝚎?!
 
Safi sana ili chaguzi za 2024 na 2025 tupige kura za hasira.

Miaka 62 ya Uhuru nchi kila mahala shida.
Nchi imenajisiwa Sana
Laana kum

Toba tu ndiyo suluhuu ya nchi hii

Raisi Sulu kasahau lengo la Mungu kumpa nafasi hii

Kifupi kalewa madaraka
 
Ndo keshakosa tena
 
Kama makonda kaweza kwann sabaya
Makonda ni Mkuu wa mkoa gani sasa hivi? Usije ukawa unaongelea msemaji wa chama fulani...Kuna Mtaalamu mmoja ashasema mjinga mmoja ni mjinga na wajinga 10 ni wajinga 10 ila wakishavuka kama 1500 ujue hicho ni Chama Cha Siasa, kwahiyo kwa tafsir hiyo hicho Chama kinaweza kumteua mjinga mwenzao kuwa kiongozi wa hicho kikundi cha wajinga.
 
Binafsi nitamshangaa na kumuona Rais wa ajabu na hovyo zaidi akizifanya tetezi hizi kuwa kweli..

Lakini inawezekana pia kuwa, pengine huko CCM na miongoni mwa watanzania 60,000,000+ na watumishi wa umma zaidi ya 600,000+ Rais Samia haoni yeyote wa kuweza kushika nafasi kama hizi serikalini isipokuwa mtu mmoja tu aliyekwisha kuchafuka kwa tabia yake ya uhalifu wa matumizi mabaya ya madaraka ya uongozi wa umma aitwaye Ole Lengai Sabaya..!!
 
Tulia sindano ziingie vizuri akili ikurudie mkuu
 
CCM ndivyo walivyo; hawana khaya!
 
😀😄😅😅🤣🤣🤣😁😁😃😃CCM Imeoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…